Tuna imani na media zetu, au leo hii hauliamini tena gazeti la Nipashe? Lingekuwa limeamdika Uhuru labda mngesingizia kuwa ni la CCM. au Wambea unaozungumzia ni akina Mbowe, Mnyika na Yeriko Nyerere?
Katika kupinga mafisadi tupo pamoja na dr slaa kwenye kupinga mafisadi kama wewe fisadi.
Katika kupinga mafisadi tupo pamoja na dr slaa kwenye kupinga mafisadi kama wewe fisadi.
Magufuli atakuwa mwenyekiti wa kwanza wa ccm ambaye hatakuwa raisi mjiandae kisakolojia maccm kukabithi nchi kwa amani kwa UKAWA
CHANZO: NIPASHE
Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE
2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE
3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k
Mafisadi michadema ni mafisadi papa.
Nikatibu anae lipwa mshahala mkubwa sawa na mbunge...ni katibu aliye jikopesha ruzuku ya chama, ni katibu aliye mpa mchumba wake cheo makao makuu ya chama
Kweli mkuu. Nadhani ndio maana wameamua kutuwekea wagombea wawili, mmoja CCM mngine CHADEMA. Uwezekano wa huyu wa CHADEMA kushinda ni mkubwa sana. Kwa hiyo huyu walietuletea CHADEMA akiwa Rais, yule waliyemuweka CCM atakuwa Mwenyekiti wa chama - Hilo nadhani ndo linaitwa Bao la mkono.
Ni Katibu aliyepaisha ruzuku ya Chadema kutoka Mil. 50 kwa mwaka hadi Bil. 1.2 kwa mwaka.
Ni Katibu aliyepelekea Chama kupewa Nafasi 25 za wabunge viti maalum...
Kwa nini tunakosa Shukurani?
Kwa nini tunakuwa wapofu?
Kwa nini tunashindwa kuutambua mchango wake:......?
Siku laana ikiikumba Chadema,, sijui.
Apumzike tu huyo mzee, hiyo ndiyo demokrasia hata akiamua kuzungumza kwa sasa hakuna impact yoyote...na ameona Lipumba jinsi alivyopuuzwa...
Mmebaki kujifariji tu, ccm lazima ife kama KANU baada ya october
Mbowe ni moja ya wenyeviti wa kuiga hapa nchini,aligombea uraisi mara moja tu na akamuachia Slaa sasa maskini huyu mzee alivyo na tamaa😱😱
Apumzike tu huyo mzee, hiyo ndiyo demokrasia hata akiamua kuzungumza kwa sasa hakuna impact yoyote...na ameona Lipumba jinsi alivyopuuzwa...
Kama Magufuli alivyo fisadi