Dr. Slaa: Hakuna Uoga Wowote Juu ya Lowassa

Dr. Slaa: Hakuna Uoga Wowote Juu ya Lowassa

Lowasa hana lolote, mwizi, fisadi, msanii, jambazi, amelifilisi taifa!!
Mashabiki wake ni mafisadi wenzake na wasio mjua!!
Tanzania tumechoka na majizi, akitokeza pua tuu tunammliza na MaCCM wenzake!!
 
Last edited by a moderator:
MR PRESIDENT kumbe ni Lumumba??
Unaibua single ya ukabila??
CDM imeenea kila kona TZ hadi Katavi muulize Pinda!!
Kila mbinu zenu zimefeli, mmekamatwa sehemu zote, WaTZ wameamka, subiri ujibiwe!!
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa CCM hawahitaji kutukanwa, wanajitukana wenyewe. Sasa ukitaka kulinganisha afya baina ya viongozi wa Chadema na wa CCM nani mwenye afya nzuri? Viongozi wa CCM wamejaa maradhi ya kila aina, wanasingizia tezi dume tu.
 
Lowassa akipita kuwa raisi tanzania ndio itakuwa nchi ya kwanza duniani inayo ongoza kuwa na machizi wengi na tutakuwa tumevunja record na dunia itatushangaa sana na itaacha kutupa misaada watajua tunapenda kuhangaika
 
Simiyu ukiamua kuwatukana viongozi wa cdm,ujue na sisi wana cdm tutaamua kuwatukana viongozi wa ccm,tuongelee utendaji wa viongozi wetu ki kazi na siyo kuawashambulia ki maumbo yao.
Huyu Simiyu Yetu pamoja na MaCCM wenzake sio kuwa wanapenda kuattack watu badala ya hoja. Tatizo ninaloliona kwao ni kuwa kwanza kabisa uelewa wao wa mambo ni mdogo kwa ujumla lakin pia Ukiwa CCM huwezi pata hoja ya mashiko ya kusifia CCM mana ni genge linalokusanya Mafisadi, Makabaila, Wakwepa Kodi, Wezi wa rasilimali za Taifa etc. Ni ngumu sana kwa mtu mwenye akili timamu kuwa ccm.
 
Watu hamjui tu kuwa Slaa yupo bega kwa bega na EL. Kwa Taarifa zenu Kaskazini wanaombea this time Presdaa atoke kwao. Kama sio Slaa basi EL. Ninauhakika hata Slaa anazuga tu kumponda EL
 
Atajuaje wakati elimu ya kujua hana anayo elimu ya dini tu.

Nadhani ukiandika tena sentensi hiyo hutaiandika ilivyo sasa. Hao wanaokuongoza wana elimu gani ya kujitambua kumzidi unaemdharau? Jadili siasa philosophy zingine kama huzijui pita tu sio lazima uchangie
 
Nadhani ukiandika tena sentensi hiyo hutaiandika ilivyo sasa. Hao wanaokuongoza wana elimu gani ya kujitambua kumzidi unaemdharau? Jadili siasa philosophy zingine kama huzijui pita tu sio lazima uchangie

mmeguswa penyewe , mlikuwa mnajifunia dr.dr.dr wa dini na kama kweli elimu ni kigezo kweli basi UKAWA asimame Prof. Lipumba
 
Back
Top Bottom