victor shio
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 651
- 109
Ccm maji kbs na wanamuogopa kwl, post ya kijinga huyo kagenz alitumwa na ccm na ndo maana tukamnyaka na mawasiliano na ccm
Acha mawazo ya kidiniDr Slaa kama Strategist hakuwa na haja ya kuonyesha mapungufu ya Lowassa kwa sasa! Tayari Pinda, Pengo, Masaburi, Membe Wanampiga Vita Lowassa... Isije ikasomeka kuwa ni mtanange wa Roman Catholic Vs KKKT ...
Malizia na Kagenzi
Mkuu Kabwela usitutishe na PhD ya Sayansi kimu.
Acha mawazo ya kidini
Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea!
Mzee Slaa ameanza kuogopa kivuli chake!
Mwenyekiti wenu hata hiyo Tu anayo?
Naona Dr.Slaa ameamua kujifariji na kijiliwaza hajui kama ndani ya Chadema kuna kuna wafuasi wa Lowassa.
PhD ya kukata vitunguu
Kweli huna hoja kabisa mzee lowassa nishaa feli kilakitu ata mke sasaivi anasaidiwa.
Kamanda huyu mzee wa tetema maana anatikisika zaidi ya cm ya Nokia awezi chochote sasaivi hata kuongea si unamuona awezi Munguka kalinde haka kaze kaone ukawa inavyo chukua nchi
ni kweli kwamba njaa inadhalilisha , lakini si kwa kiwango hiki !Nampa pole Dr. Slaa....
kashauona MOTO WA CCM THRU LOWASSA.....kaona vijana na wana CDM wengi ni TEAM LOWASSA...kaanza kushangaa ni nn hiki...!?? Akina #Ben Saanane na wengi CDM ni LOWASSA TU KWA URAIS....naona Dr. Slaa kaanza kuogopa mno, sio kawaida yake kutoa kauli za kujihami hivi....nategemea na yeye atajiunga kumpigia kampeni Lowassa....!!!
Soon, utasikia Dr. Slaa akisema, namkubali Lowassa, ila CCM siipendi, ndio hapo sasa, Dr. Slaa kashamezwa na UMAARUFU WA LOWASSA....simsikii, simuoni, haonekani ktk magazeti wala mitandao...kamalizwa kabisa.....CCM thru Lowassa ni MOTO MKUBWA..!!
keep watching...!!!
Naona Dr.Slaa ameamua kujifariji na kijiliwaza hajui kama ndani ya Chadema kuna kuna wafuasi wa Lowassa.
Dr Slaa ni mashine hiyo,hakuna wa kumbabaisha Tz hii.
Lowasa ulitoa wapi pesa za kuhonga?? Utazirudishaje??? Unalilia urais ili ufanyeje??wewe hufai hata kidogo
Hakuna uoga wowote juu ya Lowassa au CCM kutaka Urais. Wanaosema kuna uoga wanapotosha ukweli. Kuna mshangao tu, kwamba "wana lipi jipya"?
Source😀r Slaa Tweet!
Katibu mkuu Chadema!