Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Status
Not open for further replies.
Dini yetu haitaki wanafki.mzinzi,mwizi kama huyu slaa wenu
Inamkubali Mnafiki JK aliyewaahidi mahakama ya Kadhi na hajawapa? inamkubali Mzinzi kama JK kila mtoto na Mama yake bila kuwaoa?.
 
Huyu Mzee hana undugu wa kweli na waislamu, kwahiyo hizi salamu zake ni za kinafiki!

wewe ni mtoto mpotevu inafamika na hauna la kuchangia hapa. Anza kuijtambua kwani wewe ni mmojawapo wa wale ambao wanaishi mitaani na barabarani kwa sababu ya matunda ya chama chenu, na sasa wanaanza kurudi makwao maana wamejitambua!!!
 
Inamkubali Mnafiki JK aliyewaahidi mahakama ya Kadhi na hajawapa? inamkubali Mzinzi kama JK kila mtoto na Mama yake bila kuwaoa?.

Jk kaingiaje hapa?huyu slaa alikabiziwa waraka na kanisa 2010.sissi waislamu hatutaki wazinifu
 

Yaani hata kusema Eid Mubaraka hajui na umri wote huu???
 
Kweli salamu hizi ilibidi tuzichukue kwa uzito wake wala sio kuzibeza,hivi kama dokta ni kafiri kutokana ukristo wake,je pinda kesho anayehutibia baraza la IDD ni nani?
Hapa ni kuondoa chuki na kupokea salamu.
Pia tukumbuke ndoa ni nn?
 
Jk kaingiaje hapa?huyu slaa alikabiziwa waraka na kanisa 2010.sissi waislamu hatutaki wazinifu
Ujui uliandika nini?uliposema Unafiki nikakukumbusha Unafiki wa JK kuhusu mahakama ya Kadhi.alafu unasema kaaingiaje?Ila WAZINIFU na Wanafiki wakiwa WAISLAMU kama JK ruksa.
 
Kweli salamu hizi ilibidi tuzichukue kwa uzito wake wala sio kuzibeza,hivi kama dokta ni kafiri kutokana ukristo wake,je pinda kesho anayehutibia baraza la IDD ni nani?
Hapa ni kuondoa chuki na kupokea salamu.
Pia tukumbuke ndoa ni nn?

Pinda na slaa wote makafiri.salam zao ni zakinafiki
 
Ujui uliandika nini?uliposema Unafiki nikakukumbusha Unafiki wa JK kuhusu mahakama ya Kadhi.alafu unasema kaaingiaje?Ila WAZINIFU na Wanafiki wakiwa WAISLAMU kama JK ruksa.

Mnafiki ni mnafiki tu hata akiwa jk au slaa wote sawa tu.
 
Mama ako aliziniwa na slaa ukazaliwa wewe mtoto sio riziki wewe bwabwa wewe
teh teh, mbona unarukaruka, mamaako ndo kaolewa na slaa bado unazuga hapa, halafu unaramba viatu vya mafisadi badala ya kumheshimu mtu aliyekuolea mama ako, we pimbi kweli..
 
Kweli salamu hizi ilibidi tuzichukue kwa uzito wake wala sio kuzibeza,hivi kama dokta ni kafiri kutokana ukristo wake,je pinda kesho anayehutibia baraza la IDD ni nani?
Hapa ni kuondoa chuki na kupokea salamu.
Pia tukumbuke ndoa ni nn?
..mkuu umesema yaliyo kweli tupu, tunakataa hiki kwa mkono wa kushoto, kisha tunapokea kwa mkono wa kulia!
 
Kwa heshima na unyenyekevu, waumini wote walio funga funga za kweli na haki na kujifunza kwa kuyarejerea yale mafunzo mema ya kiislamu niiungane na waumini wengine kote nchini kuipokea salaam na heri ya Eid El Fitri kutoka kwa kiongozi huyu aliye onyesha upendo kwa kuungana na viongozi wengine kututakia sikukuu njema baada ya kuwa kwenye ibada na nguzo muhimu kwenye mafundisho ya dini yetu.

Eid Mubarak
 
Sasa hapo ndipo ninapopata jibu kwamba nyie ni wanafiki sana hamuwezi kumualika kafiri huku mkifahamu hilo

Tabu utapata sana.usha sikia waislamu wenye misimamo na dini yao wanawaalika makafiri kama slaa na pinda kuhutubia?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…