Dr Slaa azushiwa kifo

Status
Not open for further replies.
Mbona mwenyekiti wa magamba aliwahi kuzushiwa kwamba ana UKIMWI mpaka akaanzisha kampeni ya kupima kwa hiari! Na yeye akaenda kupima.Je ilikuwa ni kutafuta umaarufu?

Hawezi kukosa, aje uswailini tumpime wenyewe
 
Tatizo la magamba kuishiwa sera ndo wanatapatapa kwa kila njia,lakini wakumbuke alilolipanga MUNGU binadamu hawezi kulibadili.

Ewaaa atlast hadhira inaanza kupata ujumbe maridhawa kwamba Dr. Slaa ni Rais wa tano wa Tz......Mwenye wivu akimbie nchi na mapema nothing shall prevent him matching to the gates of the white house...
 
Mbona mwenyekiti wa magamba aliwahi kuzushiwa kwamba ana UKIMWI mpaka akaanzisha kampeni ya kupima kwa hiari! Na yeye akaenda kupima.Je ilikuwa ni kutafuta umaarufu?
majibu yalisemaje? tupe info.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom