Dr Slaa awakabidhi Kadi Makamanda Ester Wassira na Lilian Wassira

Ukitaka kujua ukweli nenda kwenye face book ya Ester Wassira kwamba George ni Kaka wa kuzaliwa wa steve na kwamba George ni mwanzilishi wa chadema hivyo ni maji yamefuata mkondo. George hadi leo ni mwanachama wa chadema
 
SI WATOTO WA WASIRA NI JINA LA UKOO, NYIE VIRAZA MSIWE MALOFA WA KUTUMWA .CHA MSINGI WAMETUMIA JINA LA UKOO KUONANANA NA KATIBU MKUU WENU. JE NYIE VILAZA HUMU NDANI HUYO KATIBU WENU NAWAJUA. WAO WAMEKWENDA MOJA KWA MOJA, KATIBU NAYE KAINGIA MKENGE KAITA PRESS CONFERENCE KUTAMBULIWA MABIBI WANAOITWA WASIRAS. UJINGA BWANA, HALAFU MNASEMA CCM WAMEKWISHA KWA UJINGA WENU MNADHANI HIVYO. NA NYIE KAMA KUNA MWENYE AKILI HATA CHEMBE AENDE MOJA KWA MOJA KWA SILAHA AMWAMBIE MIMI LOWASA AU MEMBE NI MJOMBA WANGU. KATIBU ASIVYOFIKIRI AU KWA KUJUA MLIVYO MALOFA WALAHI ATAITA WAANDISHI NA WEWE KILAZA HUMU NDANI TUTAKUJUA. TANGU LINI HAWA MABINTI WALE ,( hata serikali za wanafunzi hawajathubutu wanajulikana walivyo watupu, huo uanasheria yeyote anapata ukiwa na feza, nao wamshukuru huyo uncle wao kawasaidia- hatuwalaumu ila vilaza nyioe) WAKAWA WANASIASA, CHA MAANA WAMEWAPIGA BAO NA WALA HAWAHITAJI KUJA HUMU NDANI KUPIGA POROJO UCHWARA
 
Baada ya kamanda Makongoro Wasira kujiunga na M4C siku chache zilizopita, leo tena watoto wengine wa Wasira wamejiunga na M4C na kukitupia virago Chama cha Baba yao CCM. Waliojiunga leo katika Makao makuu ya Chadema na kukabidhiwa kadi na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa ni kamanda Ester Wasira na Lilian Wasira.

Wakizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa kadi walikuwa na haya ya kusema:
Ester wasira: (Ni mwanasheria, graduate wa UDSM)

(i) Chadema ni Chama cha kizalendo na mkombozi wa dhati wa Mtanzania.
(ii)
Chadema kinaleta matumaini mapya kwa Watanzania hasa vijana wasio na kazi na matumaini, Watanzania wenye maisha magumu hata kushindwa kumudu milo miwili kwa siku, akina mama wanaohangaika vijijini bila matibabu ya uhakika, maji, umeme, nyumba bora nk

(iii)
CCM imedumaza nchi, nchi imekuwa kama mtu aliyedumaa kwa kukosa protein, haikui tena, Chadema ni damu mpya yenye kuweza kuingiza protein kwenye mishipa ya nchi iweze kufufuka na kukua tena.

(iv)
Chadema kina viongozi imara na kwa maneno na matendo yake wanawadhihirishia watanzania kuwa ni waadilifu na wana nia njema ya kuipeleka Tanzania mbele. Alimalizia kwa kuwaasa vijana, akina mama na wazee wajiunge na M4C ili kuijenga Tanzania mpya. Alimalizia kwa kusema, “Kwa msaada wa Mungu, Tanzania Mpya inakuja.

Lilian Wasira (Mwanasheria, graduate wa TUDARCO)
:
(i)
Alielezea furaha yake kwa kujiunga na Chama makini na chenye kuleta matumaini mapya kwa mtanzania

(ii)
Aliwaasa vijana, akina mama na wazee wajiandikishe kwa wingi nafasi itakapotokea na 2015 wakamalizie kazi ya ukombozi kwa kuipigia Chadema kura

(iii)
Amewaasa Watanzania kuacha kulalamikia maovu ya CCM na kuchukua hatua ya kuiweka CCM pembeni na kuleta Chadema kama chama mbadala. Alisema hakuna sababu ya kuwa na mfumo wa vyama vingi kama watanzania hawathubutu kuchagua chama mbadala na badala yake kuendelea kuichagua CCM na kulalamika kila siku kuwa CCM imeshindwa kuongoza nchi
(iv) Kwamba CCM imekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50 hivyo ni wakati sasa wa kuiweka pembeni na kuingiza chama kipya, mawazo mapya na kujenga mfumo mpya wa uongozi. Hakuna kitu CCM imeshindwa kufanya kwa miaka 50 inaweza kufanya kwa miaka 5 au 10 ijayo.
(v)
Anasema ana imani na sera za chadema kuwa ndizo zitatukomboa. Amewapa moyo viongozi wa Chadema wasitishwe na vitisho na mauaji yanayofanywa na dola na kusema yupo tayari kwa M4C na yupo tayari kulipuliwa kama walivyolipuliwa wanachadema wengine na kuuawa kama itambidi afanye hivyo.

(vi) Kwamba Chadema ni Chama kinachosubiri kuingia Ikulu isipokuwa tu watu wajiandikishe, wapige kura na walinde kura.
(vii) Nae alimalizia kwa kusema “Kwa msaada wa Mungu Tanzania mpya inakuja.”Dr Slaa alitiwa moyo sana na ujasiri ulioonyeshwa na vijana hawa pamoja na maneno ya kizalendo waliyoongea na akawakarisha kwenye uwanja wa mapambano ya M4C.

Peopleeeeeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeeeer
karibuni katika harakati dada esther na lilian...makamanda tuendeleze harakati za kuimarisha harakati kwenye kila kona...na tena, iwe mwiko kutaarifu ujio wa wanachama wenzetu kutoka kwenye familia "za kineema neema" kwa staili ya furaha ya "mwokozi kaja kwetu"...wengi wamenusa kivumbi cha 2015...na wataanza andaa mazingira ya kuendelea kuwa karibu ya "meza ya keki"...ndani ya chadema...isitoshe, "tusisahau somo la maudhi na usaliti wa kisiasa toka kwa mzee wa ujira mwia"
 
Basi uwe wewe ndo mtoto wa wasira acha kubagua wanafamilia ww hi ni dam ya ukoo wa wasira hata ukienda kupima makundi ya damu unaweza ukakuta wako kundi moja la damu.ACHA KUWABAGUA WANA UKOO WA WASIRA, PEOPLESSSS POWERRR

Unaongelea makundi ya damu? mfano, kundi A au B+? Mbona hata wewe na mataila kadha wa MILEMBE mnaweza mkawa kundi moja.

Au hilo ulijui mkuu? Labda ulikuwa ukimaanisha DNA ambayo hao watoto na Wassira HAZIFANANI.
 
Mapandikizi mengine hayo nyie shangilieni kama hamjawekwa uchi weka kumbukumbu sawa baba yao mkubwa alisemaje
 
Vema wasije tu wakawa wametumwa watajuta kuifahamu!

Hata mm nina wasiwasi maana hata baba yao aliwahi kujiunga NCCR kwa mbwembwe akawa hadi mbunge baadae akayarudia matapishi yake! hii kisiasa sio familia ya kuaminika!
 
Unaongelea makundi ya damu? mfano, kundi A au B+? Mbona hata wewe na mataila kadha wa MILEMBE mnaweza mkawa kundi moja.

Au hilo ulijui mkuu? Labda ulikuwa ukimaanisha DNA ambayo hao watoto na Wassira HAZIFANANI.

wewe hata nikikuambia utaje kirefu cha DNA hujui au utaje nitrogen bases zinazounda DNA HUJUI!
 
A nice job for babu may God be with him on his way
we wanyonge will pray for what his fighting for us
 
SI WATOTO WA WASIRA NI JINA LA UKOO, NYIE VIRAZA MSIWE MALOFA WA KUTUMWA .CHA MSINGI WAMETUMIA JINA LA UKOO KUONANANA NA KATIBU MKUU WENU. JE NYIE VILAZA HUMU NDANI HUYO KATIBU WENU NAWAJUA. WAO WAMEKWENDA MOJA KWA MOJA, KATIBU NAYE KAINGIA MKENGE KAITA PRESS CONFERENCE KUTAMBULIWA MABIBI WANAOITWA WASIRAS. UJINGA BWANA, HALAFU MNASEMA CCM WAMEKWISHA KWA UJINGA WENU MNADHANI HIVYO. NA NYIE KAMA KUNA MWENYE AKILI HATA CHEMBE AENDE MOJA KWA MOJA KWA SILAHA AMWAMBIE MIMI LOWASA AU MEMBE NI MJOMBA WANGU. KATIBU ASIVYOFIKIRI AU KWA KUJUA MLIVYO MALOFA WALAHI ATAITA WAANDISHI NA WEWE KILAZA HUMU NDANI TUTAKUJUA. TANGU LINI HAWA MABINTI WALE ,( hata serikali za wanafunzi hawajathubutu wanajulikana walivyo watupu, huo uanasheria yeyote anapata ukiwa na feza, nao wamshukuru huyo uncle wao kawasaidia- hatuwalaumu ila vilaza nyioe) WAKAWA WANASIASA, CHA MAANA WAMEWAPIGA BAO NA WALA HAWAHITAJI KUJA HUMU NDANI KUPIGA POROJO UCHWARA

we nae povu la nin? Kwan uanasheria unanunuliwa? Ester darasan zmo nyng tu! Na nan kakuambuia walsomeshwa na uncle wao! Ester kasoma kwa kudundulza,baba yao mwenyewe kasha watosaga long! Ameshndwa hata kupga lawschool coz hana ada! Kwan kuwa daruso ndo dili? Kwan kna mtatiro walikuwa na kaz gani hadi esta aende daruso? Ubwege.com!
 
Alikwenda upinzani makongoro nyerere na mambo yaliendelea sembuse hao wa baba mkubwa!
 
Back
Top Bottom