CHADEMA muwajibu kwa heshima Wassira na Kinana mnapokuwa majukwaani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Tangu juzi kwenye Mikutano ya CCM na CHADEMA pamezuka kujibiza kati ya Viongozi wa CCM na CHADEMA.

Kwa bahati mbaya Viongozi wote wa CHADEMA ukimtoa Mbowe, bado ni vijana sana kulinganisha na wale wa CCM.

Hivyo natoa angalizo kwenu Lissu, Mnyika, Mwalimu, Heche, CPA Ruge nk, heshima ni kitu cha bure itumieni mnapojibu hoja za wazee wetu hasa Kinana na Wassira ambao wanawatoeni jasho.

Nawasilisha!
 
Hao wacheze na wote wasicheze na wanajeshi.

Hawajawahi kuitia jeshini hao.

Ofisa wa jeshi hata akistaafu bado anastaafu na heshima zote za kijeshi. Na kuna wanajeshi ambao hawatakubali maafisa wao wajibiwe kijinga, hapo mdipo mtakapoelewa maana ya "sikio la kufa halisikii dawa".
 
Tangu juzi kwenye Mikutano ya CCM na Chadema pamezuka kujibiza Kati ya Viongozi wa CCM na Chadema

Kwa bahati mbaya Viongozi wote wa Chadema ukimtoa Mbowe bado ni Vijana Sana kulinganisha na wale wa CCM

Hivyo natoa angalizo kwenu Lisu, Mnyika, Mwalimu, Heche, CPA Ruge nk Heshima ni Kitu cha Bure itumieni mnapojibu hoja za Wazee wetu hasa Kinana na Wassira ambao wanawatoeni jasho

Nawasilisha!
Hata wahuni huzeeka kwaiyo hao ni wahuni tu watajibiwa sawasawa na uhuni wao. Wazee gani wanafumbia macho ujinga?
 
Tangu juzi kwenye Mikutano ya CCM na CHADEMA pamezuka kujibiza kati ya Viongozi wa CCM na CHADEMA.

Kwa bahati mbaya Viongozi wote wa CHADEMA ukimtoa Mbowe, bado ni vijana sana kulinganisha na wale wa CCM.

Hivyo natoa angalizo kwenu Lissu, Mnyika, Mwalimu, Heche, CPA Ruge nk, heshima ni kitu cha bure itumieni mnapojibu hoja za wazee wetu hasa Kinana na Wassira ambao wanawatoeni jasho.

Nawasilisha!
he wewe umwonye yule sokwe mtu mwenye mdomo mchafu kama masokwe wa kweli. Matusi kama anatumia caudal part>
 
Tangu juzi kwenye Mikutano ya CCM na CHADEMA pamezuka kujibiza kati ya Viongozi wa CCM na CHADEMA.

Kwa bahati mbaya Viongozi wote wa CHADEMA ukimtoa Mbowe, bado ni vijana sana kulinganisha na wale wa CCM.

Hivyo natoa angalizo kwenu Lissu, Mnyika, Mwalimu, Heche, CPA Ruge nk, heshima ni kitu cha bure itumieni mnapojibu hoja za wazee wetu hasa Kinana na Wassira ambao wanawatoeni jasho.

Nawasilisha!
Hujaona Ile ya singida. Wasira anasema wanasingida Wana bahati mbaya. Kwa kuzaa kichaa anaitwa lisu. Sasa hapo unategemea lisu amjibuje mtu aliyemwita kichaa. Amwite Mzee. ?
 
Tangu juzi kwenye Mikutano ya CCM na CHADEMA pamezuka kujibiza kati ya Viongozi wa CCM na CHADEMA.

Kwa bahati mbaya Viongozi wote wa CHADEMA ukimtoa Mbowe, bado ni vijana sana kulinganisha na wale wa CCM.

Hivyo natoa angalizo kwenu Lissu, Mnyika, Mwalimu, Heche, CPA Ruge nk, heshima ni kitu cha bure itumieni mnapojibu hoja za wazee wetu hasa Kinana na Wassira ambao wanawatoeni jasho.

Nawasilisha!
Jo wakati mwingine iache utani,hivi unafikiri shetani akibananishwa atoe maelezo yaliyo nyoka,unafikiri ataegemea upande wa wema,🤔 au ataegemea upande wa uovu🤔
 
Hao wacheze na wote wasicheze na wanajeshi.

Hawajawahi kuitia jeshini hao.

Ofisa wa jeshi hata akistaafu bado anastaafu na heshima zote za kijeshi. Na kuna wanajeshi ambao hawatakubali maafisa wao wajibiwe kijinga, hapo mdipo mtakapoelewa maana ya "sikio la kufa halisikii dawa".
Zamani tulikuwa tukisikia fulani ni mwanajeshi tulikuwa tunaogopa ile mbaya. Lakini baada ya kuujua ukweli tunaona ni vichekesho tu kwa sifa hizi za kijinga.
 
Hao wacheze na wote wasicheze na wanajeshi.

Hawajawahi kuitia jeshini hao.

Ofisa wa jeshi hata akistaafu bado anastaafu na heshima zote za kijeshi. Na kuna wanajeshi ambao hawatakubali maafisa wao wajibiwe kijinga, hapo mdipo mtakapoelewa maana ya "sikio la kufa halisikii dawa".
Mwanajeshi akiingia kwenye siasa akubali yote hata Kikwete alikuwa mwanajeshi lkn alipigwa spana za kutosha na ukiamua kutapisha choo usilalamike kuna harufu mbaya, by the way mzee asiyejiheshimu haheshimiki.
 
Tangu juzi kwenye Mikutano ya CCM na CHADEMA pamezuka kujibiza kati ya Viongozi wa CCM na CHADEMA.

Kwa bahati mbaya Viongozi wote wa CHADEMA ukimtoa Mbowe, bado ni vijana sana kulinganisha na wale wa CCM.

Hivyo natoa angalizo kwenu Lissu, Mnyika, Mwalimu, Heche, CPA Ruge nk, heshima ni kitu cha bure itumieni mnapojibu hoja za wazee wetu hasa Kinana na Wassira ambao wanawatoeni jasho.

Nawasilisha!

Wewe kama?
 
Huyu Wasira ni bure kabisa. Hivi amesahau nini kwenye siasa? Kwa nini asistaafu kama wenzake kina Cleophas Msuya na Malecela?

Anataka hadi aanze kutukanwa na vitukuu vyake kina Pambalu ndiyo astaafu?
 
Mzee bado ana nguvu na akili bado zinachaji
 
Ukimwangalia tu Wasira unaona ana walakini. Hizo akili atoe wapi? Hata kufunga vifungo vya koti anapishanisha utasema yuko timamu kweli?
Namsikia akijibu issue za bandari hapotezi kumbukumbu kama wazee wengine
 
Tangu juzi kwenye Mikutano ya CCM na CHADEMA pamezuka kujibiza kati ya Viongozi wa CCM na CHADEMA.

Kwa bahati mbaya Viongozi wote wa CHADEMA ukimtoa Mbowe, bado ni vijana sana kulinganisha na wale wa CCM.

Hivyo natoa angalizo kwenu Lissu, Mnyika, Mwalimu, Heche, CPA Ruge nk, heshima ni kitu cha bure itumieni mnapojibu hoja za wazee wetu hasa Kinana na Wassira ambao wanawatoeni jasho.

Nawasilisha!
Acha hizo huu si wakati wa upatanishi na siku zote mwanaume hapatanishwi kabla ya kuzipiga, hivyo subiri litendeke kwanza.
 
Hao wacheze na wote wasicheze na wanajeshi.

Hawajawahi kuitia jeshini hao.

Ofisa wa jeshi hata akistaafu bado anastaafu na heshima zote za kijeshi. Na kuna wanajeshi ambao hawatakubali maafisa wao wajibiwe kijinga, hapo mdipo mtakapoelewa maana ya "sikio la kufa halisikii dawa".
Huyu Kinana si mjeda pure ni mwanasiasa kama alivyokuwa Kikwete.
 
Back
Top Bottom