Dr Slaa Avunja rekodi Afrika


kwani ruzuku inatoka wapi mbinguni au ?kama Kwenye kodi zetu anayo haki kujua matumizi yake hakuna itikadi ya chama hapo mkuu
 

kuna ukweli wowote hapa!
 

recodi yake inasaidiaje kutuondolea umasikini???
 

Nini maana ya uadilifu? naomba kufahamishwa.
 
Walicho kitangaza ni kuwa Dr. Slaa ni kiongozi jasiri bila kujali kuwa ni padri alihaidi kualalisha gongo nchi Tz akipewa dola.


Usijifanye una mdomo mchafu sana sio ajabu maisha yenu yanategemea gongo na inawezekana mimba yako ilihongewa gongo tena vochakani.
 
Inawezekana make ht matonya alikuwa maarufu inategemea umaarufu huo ni kitu gani uwenda kula ruzuku kutelekeza familia kuduu sana dogodogo au katka siasa......
 
Ombi langu kwa wana Jamii forum, naomba tuwe wa kweli, pale panapostahili ukweli hatuna budi tuukiri na palipo na uongo inabidi tuseme ukweli tu, siyo kila suala kulisifu au kuliponda kutokana na itikadi zetu, TUBADILIKE JAMANI.
 
Hapa nchini chadema inaminya ruzuku haiwafikii wa ngazi za chini. Labda kwa kuwa Mzee wa gongo
 
wewe unajua kaz ya m/kit? au unafikir na ccbrt haina mwenyenayo km cdm! tungempongeza km angekua mkurugenz mtendaj lkn kwa m/kit n kumpa sifa zisizo mstahir! atuambie matumiz ya chama yakoje km kiongoz wa kisiasa
 
Khaa!!! Utani gani mnaleta?? Pesa alizosomamia ni hizi hizi zinazomg'oa ZZK na zile zilizomuua Chacha Wangwe???
 

.
Ukweli usiopingika hakuna kiongozi mahiri na kiboko cha wezi wa mali za umma kama Dr Slaa. Ndio maana unaona kwa sasa chama Tawala sisiem kwa kumhofu huyu mtu makini Slaa wanaweza kumhonga mtu mmoja tu pesa za walipa kodi wa hii nchi masikini kiasi cha zaidi ya dola za kimarekani milioni moja ili kupunguza nguvu za Slaa.
Goo Slaa gooo, whether people like or not you are the next president of our nation.
HAEVENLY FATHER WE PRAY THAT YOU BLESS AND GUARD THIS PERSON DR SLAA.
 
wewe unajua kaz ya m/kit? au unafikir na ccbrt haina mwenyenayo km cdm! tungempongeza km angekua mkurugenz mtendaj lkn kwa m/kit n kumpa sifa zisizo mstahir! atuambie matumiz ya chama yakoje km kiongoz wa kisiasa

Akuambie we ni CAG? Bac utuambie za vyama vingine
 
Hapa nchini chadema inaminya ruzuku haiwafikii wa ngazi za chini. Labda kwa kuwa Mzee wa gongo

chama gani kinafikisha ngazi za chini? Utasema CCM? uwe unafanya tafiti usikurupuke kuropoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…