Huyu mzee ana record nyingi sana mojawapo ni kuwa Katibu Mkuu wa chama pinzani mwenye mtoto mchanga(Junior) huku umri wake umesogea,hamna Katibu mkuu mwingine kama yeye duniani..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Ni nani hapendi kuwa na mtoto/ Watoto.?
Ni nani hapendi kuwa na mtoto/ Watoto.?
Hizo fedha za ruzuku ya chadema zinatuhusu wote kwani zinatokana na kodi ya wananchi wote bila kujali itikadi.
Utafiti halali unaonyesha kwamba DR SLA ndiye mtu maarufu zaidi hapa TANZANIA kwa hivi sasa .
ccm hamna hoja hata kidogo mmekazania hoja zisizo wahusu,ruzuku ya chadema wewe inakuhusu nini?hivi hamuoni hata haya kufuatilia matumizi ya pesa ambazo haziwahusu?hivi unaanzaje kuuliza bajeti ya maisha ya jiran yako? Huu umbea vijana wa ccm utawaisha lini?
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza Mjini Libravile,Gabon, Kukiwa na nchi washirika 43, Maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani Afrika vikiwa na wakati mgumu, Hasa linapokutazamiwa suala la Uhuru.
hongera dr slaa.kiongozi wa chama cha upinzani na katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)
amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani afrika, dr slaa ambaye pia ni mwenyekiti wa ccbrt, amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa taasisi anayoiongoza; akizungumza na radio ya taifa mjini adis ababa,abdil jabir mkuu wa vyama vya siasa afrika ya magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa nchi za afrika kuwa na kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza mjini libravile,gabon, kukiwa na nchi washirika 43, maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani afrika vikiwa na wakati mgumu, hasa linapokutazamiwa suala la uhuru.
itaifa lina hitaji watu kama hawa kina dr slaa.kiongozi wa chama cha upinzani na katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)
amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani afrika, dr slaa ambaye pia ni mwenyekiti wa ccbrt, amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa taasisi anayoiongoza; akizungumza na radio ya taifa mjini adis ababa,abdil jabir mkuu wa vyama vya siasa afrika ya magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa nchi za afrika kuwa na kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza mjini libravile,gabon, kukiwa na nchi washirika 43, maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani afrika vikiwa na wakati mgumu, hasa linapokutazamiwa suala la uhuru.
Dr.Slaa ndiye mzalendo wa kweli, Mungu akulinde Rais wangu.
Walicho kitangaza ni kuwa Dr. Slaa ni kiongozi jasiri bila kujali kuwa ni padri alihaidi kualalisha gongo nchi Tz akipewa dola.
Chadema hakuna ufisadi Mkuu, Kuna mwenye taarifa za Ubadhirifu wa Fedha Chadema awataje wahusika hadharani,na Ulinzi atapewa.
Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.