thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
True.Ni mjinga tu ndiye anaweza kukubaliana na porojo hizo za Slaa!
Anaongea hayo kumfurahisha bwana wake.
CCM wanapata madaraka kwa nguvu ya polisi, usalama wa taifa, tume isiyo huru ya uchaguzi na si kwa kushindanisha sera na vyama vingine vya siasa!.
Slaa hawezi kuwafunda lolote wapinzani, zaidi atabaki kuwa kituko!