Dr Slaa avifunda tena vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020 October

Wale aliowakimbia wamerudi huko huko CCM
FB_IMG_1581491063368.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niombe wazingatie ushauri huu japo muda ni mchache sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni mjinga tu ndiye anaweza kukubaliana na porojo hizo za Slaa!

Anaongea hayo kumfurahisha bwana wake.

CCM wanapata madaraka kwa nguvu ya polisi, usalama wa taifa, tume isiyo huru ya uchaguzi na si kwa kushindanisha sera na vyama vingine vya siasa!.

Slaa hawezi kuwafunda lolote wapinzani, zaidi atabaki kuwa kituko!
 
CCM kwa miaka yote wamekua madarakani wameshindwa kutimiza hizo haki..Na bado Dr.Slaa anawaongelea Wapinzani ambao hawajapata ridhaa kuongoza Nchi..

Bungeni ni wapinzani Pekee wanaopigia kelele hizo haki..

Utafutaji wa Masoko kwa Wakulima nayo iwe ni haki..Siyo kutumia Wanajeshi.
 
Ni mjinga tu ndiye anaweza kukubaliana na porojo hizo za Slaa!

Anaongea hayo kumfurahisha bwana wake.

CCM wanapata madaraka kwa nguvu ya polisi, usalama wa taifa, tume isiyo huru ya uchaguzi na si kwa kushindanisha sera na vyama vingine vya siasa!.

Slaa hawezi kuwafunda lolote wapinzani, zaidi atabaki kuwa kituko!
True.
Yeye mwenyewe amepotea. Alipaswa atuelekeze mbinu ili na sisi tupotelee kwenye ubalozi kama yeye.

tecno P5
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom