Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Mumgu ibariki tz,kigoma,wanakigoma, wanaCDM na Viongozi wao. Dr. S go on...... We are praying 4 U.
 
Naona Mbowe na Dr.W.Slaa hawajapewa heshima ya kualikwa maziko ya Madiba.

Wachawi utawajua tu,wanapenda heshima kwenye mazishi

Next time chagua maneno vizuri unapochangia mijadala kwenye public arena.
 
Last edited by a moderator:
Chadema mlisha tuzoesha kurusha picha hapa JF mbona siku hizi mna ongea kwa maneno maneno tu!
Picha please
 

Hii ni Habari njema sana kwa watatzania wema wanaopenda ukweli na waelewa kwa hila wasiokitakia meme Chadema na wengine wenaopigania haki ya watanzania kwamuda mrefu. nitakumbuka sana msemo huu kuwa walio wema wanaisikia saidi ya CHADEMA kupitia DR Slaa na Wanamfuata kwa nia njema iliyo ndani ya Mioyo yao na kwa furaha wanaimba kudhihirisha furaha yao. Mungu ni mwema na hii ni miujiza anaifanya kuonesha Dunia kuwa japo kuna wasaliti lakini chadema ni imara sana na kitatukuka kwa harakati za wenye nia njema na sio wasaliti wanaopanga mipango ovu gizani kwa manufaa yao binafsi na sio kwa taifa letu. VIVA VIVA DR, VIVA CHADEMA, VIVA MBOWE na TEAM nzima ya USHINDI na ya Mabadiliko chanya kwa CHADEMA. wabakio wanoouza dignity zao kwa vijisent huku wakiwa watumwa wa kufikiri na vipofu wasioona jinsi CCM inavyozidi kuongeza kutu ua umaskini Tanzania. CCM yaani ni majanga majanga matupu. Bila Chadema tutaangamia Tanzania. Mungu Mpe Maisha Marefu DR.
 

Nimepata taarifa kutoka kigoma Dr Slaa ana hutubia watu wasio zidi 100! Hii ni kutokana na mvua au hakukufanyika matangazo ya kutosha ya mkutano??????
 
Last edited by a moderator:

Hapa ndiyo utajua watumia tumbo kufikiri......aaaaahaaaaa ama kwel CCM uozo
 
Bila shaka hii mvua ina mkono wa MSHIRIKINA MKUU ili kumkwamisha Dr Slaa, ila nakwambia Shetani hana mamlaka tena.
 
Dr. Slaa anazidi kuikamata Kigoma huku wanafiki chupi zikizidi kuwashuka...
 
Naona Mbowe na Dr.W.Slaa hawajapewa heshima ya kualikwa maziko ya Madiba.

Kule kwenye maziko ya Mandela wamealikwa 'heads of Governments and Heads of States.
Wapi sixgates...??
Uko Kigoma au 'umetoka nduki'...!!!
Tupe updates kutoka huko Kigoma...!!!
 
Last edited by a moderator:
...nahisi ccm wataumia mara mbili zaidi kwa taarifa hizi na bwanamdogo zito ulikoegemea watu wamebomoa,chezeya kamanda wa aridhi weye....
 
Mdau aliyeko kwenye mkutano anasema mvua kubwa sana inanyesha muda huu....
 
Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......

Halafu yeye akafa tartiibuu.....
 
Vipi kuna ratiba ya mkutano Kalinzi? Nadhani Dr. Slaa akifika Kalinzi leo na soko litafungwa na watatamani wampe na zawadi za ndizi atashindwa kuzibeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…