Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

alafu yeye ndo akatangulia..hapo ndo ujue CDM IKO kwa makusudi Ya MUNGU
 
kila la heri kamanda wetu Dr Slaa.
 

Slaa ni mpangaji Katika familia ya Mtei aka mmiliki wa CDM~Bango.
 
Naona Mbowe na Dr.W.Slaa hawajapewa heshima ya kualikwa maziko ya Madiba.
 
Last edited by a moderator:
Ahaa we msukule kunsemaje weye? Unataka leta kejeli ee.
.
nyie ndo mnaleta kejeli na maisha ya watu kwa kujineemesha nyie wenyewe na familia zenu ndo maana hamtaki mabadiliko kabisaaa..mujiandae kwa mabadiliko ndugu,siku si nyingi nchi itatoka kwenye dhiki kuu ya ufisadi..dhiki kuu ya ujangili..na udhalimu wote uliopo hapa nchini..
 
jk ni rais anayelindwa na majini!

Kama "majini" ulimaanisha Majinni, wala hujakosea. Ukiwa Rais wa nchi unakuwa pia ni Rais wa binaadam na viumbe vyote vilivyopo nchini kwako, labda uwe huna akili ndio usijuwe hilo.

Kumbuka, si Majinni tu, hata Malaika wanamlinda. Msome Mbowe anasemaje Kuhusu Rais wake;

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya" Mtukufu Rais Jakaya Mrisho Kikwete - Freeman Aikaeli Mbowe
 
Msipokuja bila picha hapa mi sielewi kabisa, siku hizi simu hata pande hizo zipo, kupiga na kutupia humu ni dakika mbili tu...
Msije na siasa za google play kupata watu wa kudownload software wanadanganya inatumiwa na watu 20m kumbe wapo buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…