mbona picha zimepigwa kiaina sana? hizo picha pamoja na kuwepo mvua kubwa lakini watu wanaonekana walivumilia kunyeshewa mvua ili mradi tu wamsikilize dr slaa! hakika dr ni kipenzi cha watz wote.
mkuu hizi sio picha za ITV za kuedt na kudanganya watanzania
Mkuu si unaona hapo Juu,sijui mkutano au kijiwe cha stori
sred za Lumumba huwa zinaboa siku zote...
Mkuu Taswira usihangaike sana kutafuta mapicha na kujua ni watu wangapi wamehudhulia katika mkutano wa Padri Slaa kwani wengi wanaenda kumshangaa na kumjua mtu aliejawa na roho mbaya ya chuki na visasi. Mimi huwa nahudhuria mara kadhaa mihadhara yake, kwa mfano kwene kukusanya maoni ya katiba Mkwakwani palifura ile mbaya lakini watu waliondoka na kukusema kama huyu ndio anataka kuiongoza hii nchi basi ni hasara kubwa kwa taifa hasa kwenye taasisi ya Urais. Hajiwezi kichani zaidi ya mipango ya fitna tu.
mkuu hizi sio picha za ITV za kuedt na kudanganya watanzania
Nimeipenda hii sred mwangalie slaa yupo na polisichadema
kama hauoni vaa miwaniHii Kamera yako ilikuwainachukua upande mmoja ? au ina jicho moja?
Slaa wenzake wanaomboleza kifo cha Mandela, yeye yuko busy anakukuruka na fitina.
Wenzake wanaweka bendera nusu mlingoti yeye anaweka bendera mpaka juu!
Babu amevurugwaSlaa wenzake wanaomboleza kifo cha Mandela, yeye yuko busy anakukuruka na fitina.
Wenzake wanaweka bendera nusu mlingoti yeye anaweka bendera mpaka juu!
kama hauoni vaa miwani
milioni kumi na tisa aliyopewa inamtosha kabisa.
Lol camera ina ugonjwa wa Nairobi red eyes.