Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

Hao watakuwa hawajui Kiingereza, Slaa katika hotuba anasema hataki misaada halafu hotuba hiyo hiyo anawaomba waje kusaidia. Si hatari hiyo?
Ujui kingereza vizuri, s.t.u.p.d. kajifunze.
 
Kila mtu anaweza kusema, lakini kutenda ikawa sifuri, hizi ndio zile speech za kwenye tungo za prof J, za kuleta mabomba ya mazima, ukijaribu kuangalia asilimia kubwa ya wafuasi wa chadema ni wale watu wenye hulka ya kukaa na kuota siku nzima lakini kwenye utendaji ni sifuri, yeah amesema , amesema....kila mtu anasema...huyu mtu wenu angetushawishi na wengine kama angekua amefanya jambo la ajabu sana katika jimbo lake tofauti n amajimbo mengine, wenye akili zao hupima watu kutokana na historia za maendeleo walizofanya, lakini kwa huyu mtu, hakuna anachofanya zaidi ya kusema NITA..
Na hapo ndipo wanasiasa wanapofanikiwa kuwahadaa watu wengi.mi kuna wakati huwa na apprecate kazi ya ccm japo kwa kiwango kidogo walichofanya wanakwambia ukitaka ujue rha ya ngoma ingia uicheze usije ukashangaa hawa wanaojigamba na tunao wategemea kwa mageuzi ndo wakafanya hovyo kuliko hata hawa ndo kale kamsemo waliopo hatuwataki wanaotaka tuwape hatuwaamini.Kikwete aliingia na ARI MPYA,NGUVU MPYA,KASI MPYA watu wakaamini yakowapi.Ingekuwa yale ya kwenye speech ndo uhalisia nazani speech za Obama zinatosha kuipaisha marekani mbali na huu ulimwengu lakini bado hali mbaya hamna Ajira deni la serikali ndo hivyo pamoja na speech zote hizo nzuri mi sishangai kitu hata kwenye hiyo speech sababu speech haijengi barabara speech haipunguzi mfumuko wa bei.Kwanini speech itufanye tumwamini mtu kiasi hicho? Tunasafari ndefu sana
 
Hiki nini?

Soma hapa kuhusu Malaria:

Sasa ngoja nikufahamishe wazungu walivyo na khiyana, baada ya kutangazwa hayo tu na Tanzania na wao sasa wamerukia:

Malaria vaccine: Hopes rise for 2015 target after successful trials | Society | The Guardian

Dawa ni hiyo hiyo, lakini hatajwi mtaalaam wa Kitanzania hapo wala haitajwi Tanzania ndio iliyokuwa kinara wa utafiti huo.

Upo hapo ulipo? Na hiyo technology kuna kila sababu kuwa wataiiba ile tuendelee kuwa tegemezi.

Halafu leo huyu babu anakwenda kuwaambia oooh tupeni "skills" oooh tupeni "technology", Mawee!

Hivi huwa anafikiri kweli huyu babu?

We mama usitake kupotosha watu.... nachukia when the "weak" is blinded eti sisi ni vinara wa ----- kwa sababu mmezoezwa hivo na kwa kuwa ni wavivu wa kusoma na kutaka kujua mambo mengi tunajikuta tunaamini hata kama ni uongo...mfano wewe hapo umeongopa..... nakufahamisha rasmi kuwa The RTS,S malaria vaccine candidate was created in 1987 by scientists working at GlaxoSmithKline Biologicals Laboratories (GSK) zilizopo Rixensart,Belgium.
Test ya kwanza ya chanjo hii kwa binadam ilifanywa USA in 1992 na baadaye Africa in 1998 tena huko Gambia, kwa TZ na Kenya tests zilifanyika mwaka 2008....
Tanzania haina tofauti na nchi zingine za Africa kama Gabon, Mozambique, Ghana, Kenya, Malawi, na Burkina Faso ambazo zinashirikiana na GSK Bio na MVI katika kuandaa chanjo hii….kwa TZ hao Ifakara Health Institute, NIMR n.k ni washirika au collaborators tu kama ilivo Albert Schweitzer Hospital- Lambaréné, Gabon, Kenya Medical Research Institute (KEMRI), na nyingine nyingi….TZ si kinara kwa namna yoyote ni mshirika kama walivo washirika wengine nlowataja, so sijui unalenga kusema nini hapo .
Argument yako ni weak na wrong as well…sitaki kukuita mwongo,mnafiki mza….nk huo ndo uelewa wako wa sasa nina imani na wewe unaweza badilika na kuyaelewa mengine mengi tu kama ukipenda….
Kuhusu skills----huwezi ukawa serious kusema mbele za watu ati skills "wataiba" are u ok?
Mwl….u are not serious!
 
Tatizo lako huelewi unachkonbishia unafikiri USA watakupa "skills" zao waache kukuibia zako?

Tanzania ni pioneers ukipenda usipende, hakuna mahala ilitangazwa mafanikio ya dawa hii kabla ya Tanzania na ushahidi upo juu, haijalishi ni nani alianza huo utafiti kama ni Belgium au kwingine kokote. Utafiti ulianza Brazil na USA miaka kadhaa iliyopita kabla ya hiyo Beligium uliyoiweka wewe lakini haukuleta mafanikio, si kiroja lakini ndio kawaida ya utafiti.

Research huanzwa miaka na miaka na hufanywa na nchi nyingi tofauti duniani lakini mafanikio hupatikana sehemu moja. Na mafanikio ya chanjo hiyo yamepatikana Tanzania katika kituo cha Ifaka (IHI). Unachotaka kubisha ni nini hapo?

Soma zaidi: http://ihi.eprints.org/1882/1/news_(25).pdf

Na hii: http://ihi.eprints.org/1883/1/news_(26).pdf

Na hii: Malaria Vaccine Less Effective Than Expected - IHI Digital Library

Na hii: Big Hope for Malaria Vaccine in New Study - IHI Digital Library

Msitake kutuletea story za Slaa kuwa oooh, mtupe technology, mtupe skills, wakupe technology na skills? hawakupi ng'oo, uimbe ulie ujichekeshe, wakikupa technology na skills wao wabaki na nini?

Acheni porojo za kitoto hapa, nbabu kama yule sikutegemea kama anaweza kwenda kuongea utumbo, eti njooni nyie watoto tunawakaribisha kwa sababu nyinyi ndio wawekeaji wa "future".

Mwambieni babu, in future, very near future, hatutaki wawekezaji tunataka kuwekeza.
 
Hotuba ya kumwabia mtu sitaki fedh yako ya kodi nataka uwezo "skills" zako?

Hivi hiyo ni akili kweli? huyo mtu akikupa wewe skills zake atalipa hiyo kodi yake? atakuuzia nini wewe ili alipe kodi? na wewe una mali ghafi yeye ana skills. Hapo sasa!

Igawaje si mpenzi wa mambo ya siasa, ila kwa uchambuzi wa chini kabisa, uwekezaji, technolojia na biashara iliyo sawa ya kimataifa ndio itakayotutoa hapa (Rejea pia Kitabu cha Nambisa Moyo, "Ni jinsi gani Misaada ya aina ya kupewa samaki inavyodidimiza Afrika"). Huyu ni mchumi na alichokisema Slaa ni hoja ya msingi katika kufikia maendeleo ya kweli!! Japan na Korea kwa mfano zimeendelea si kwa kutembeza bakuli bali ni kuwa na sera mathubuti za kuvutia uwekezaji na kutumia uwekezaji huo kwa kitu kinaitwa win-win investments and trade. Mwanzoni kabisa ilikuwa si rahisi kwa investor wa nje kufungua kiwanda Korea bila ya kuwa na investor/shareholder wa ndani. Hapo ndipo unajenga kitu kinaitwa 'sustainable development". Hali hii imekuwa hivyo pia India na China!! Ili kutoka hapa tulipo ni lazima kufikiria nje ya box. Huwezi jenga uchumi imara wakati hata basic consumables kama viatu bado unategemea kutoka nje kwa asilimia 100. Huwezi pia kuwa na wananchi wenye afya bora kwa kutegemea ufadhili wa neti -- hii si sustainable!! Dawa ni kuua mbu!! Kuna vitu vingine ni lazima kufanya maamuzi magumu ili kutoka hapa tulipo na si kulinda maslahi binafsi.
 
Sijajua laana hii itatutoka lini Watanzania, tumejaliwa kila kitu na sasa kiongozi tunaemtaka ndo huyu, tuiondoe hii laana kwa kumpa nafasi Dr Slaa ninahakika hatutajutia kumpa Urais, Hongera Dr Slaa kwa Hotuba inayoishi.
 
Igawaje si mpenzi wa mambo ya siasa, ila kwa uchambuzi wa chini kabisa, uwekezaji, technolojia na biashara iliyo sawa ya kimataifa ndio itakayotutoa hapa (Rejea pia Kitabu cha Nambisa Moyo, "Ni jinsi gani Misaada ya aina ya kupewa samaki inavyodidimiza Afrika"). Huyu ni mchumi na alichokisema Slaa ni hoja ya msingi katika kufikia maendeleo ya kweli!! Japan na Korea kwa mfano zimeendelea si kwa kutembeza bakuli bali ni kuwa na sera mathubuti za kuvutia uwekezaji na kutumia uwekezaji huo kwa kitu kinaitwa win-win investments and trade. Mwanzoni kabisa ilikuwa si rahisi kwa investor wa nje kufungua kiwanda Korea bila ya kuwa na investor/shareholder wa ndani. Hapo ndipo unajenga kitu kinaitwa 'sustainable development". Hali hii imekuwa hivyo pia India na China!! Ili kutoka hapa tulipo ni lazima kufikiria nje ya box. Huwezi jenga uchumi imara wakati hata basic consumables kama viatu bado unategemea kutoka nje kwa asilimia 100. Huwezi pia kuwa na wananchi wenye afya bora kwa kutegemea ufadhili wa neti -- hii si sustainable!! Dawa ni kuua mbu!! Kuna vitu vingine ni lazima kufanya maamuzi magumu ili kutoka hapa tulipo na si kulinda maslahi binafsi.

Nakubaliana kwenye win-win situation sikubaliani na "nipe technology yako". Hakupi ng'oo.
 
maneno mazito hadi yana sisimua!sijui dhaifu haoni aibu akiona nondo kama hizi???
 
hivi unadhani kama mtu anayedai kuwa na sense ameshindwa kuona sense katika hotuba ya Dr. utamweleza nini hadi aelewe?imagine #foxy haoini faida ya kuomba ufadhili wa elimu na ujuzi kweli yupo sahihi huyu?
 
Namchukia babu kwa tabia yake ya uzinzi uliowazi na kupora mke wa mtu kwa kutumia wadhifa na fedha zake. Yule jamaa analalamika sana.

Pia amesaliti kanisa la bwana na kukimbilia zinaa
uvundo mwingine huu hapa ila haunuki jamba tena mkuu!
 
Nakubaliana kwenye win-win situation sikubaliani na "nipe technology yako". Hakupi ng'oo.

Kama umesoma jinsi technolojia inavyohama kutoka kwa wavumbuzi (first movers kwenda kwa late movers) utaelewa. Leo hii kuna viwanda vingi vinatumia technolojia isiyo yao kwenye nchi mbalimbali na kwa kufuata taratibu za patent rights na procurement systems za serikali, nchi mbali mbali zinafaidika. Kitu kikubwa ni kuwa na "human resources inayoweza kujifunza kutumia technolojia hiyo na kuwa na "government procurement system" inayojali maslahi ya taifa kwanza. Hivi ndivyo China inavyonufaika na Afrika kusini wako kwenye njia hiyo hiyo (Reject SA Industrial Action Plan na utekelezaji wake). Tukikaa tu kusubiri, hatutatoka hapa tulipo. Huwezi kumpa Mchina mradi wa barabara halafu 100% ya supplies za materials za kujengea anatengeneza yeye wakati kuna wazalendo wanaoweza kuzalisha materials hizo hizo na fedha zikiwa ni za serikali. Kumbuka technology inafuta faida na ili ufaidike nayo ni lazima ujenge mazingira ya kunufaika. This is what Chinese, India and S. Africans are doing now. Rejea transformation ya Benz production India hadi kuwa na TATA.
 
...long live dr. wewe ni hazina ya africa......
 
Nani alikwambia anakaa kusubiri? wamesema kuhusu vyandarua tukawaonesha picha za kiwanda.

Kitu kimoja uelewe unaweza kuwekewe kiwanda cha viatu, kwani hatuna? lakini uwe tegemezi la vipuli vya hicho kiwanda. Bila kuwashirikisha wao, sahau.

Hiyo mifano unayotoa ya South Afrika na Korea na China kote huko wana viwanda "under license", ni win win situation, huwezi leo kwenda kuwaambia sina haja ya fedha yenu ya kodi nataka mnipe technology yenu, watakuona punguani tu, na hapo ndipo watakapokuumiza zaidi.

Kumbuka Nyerere alifanya nini? aliweka viwanda, alitaifisha viwanda, mashamba (yaliokuwa yana export kuliko nchi yoyote katika Africa), akatangaza sasa tunajitegemea, viko wapi? yako wapi? kiko wapi?

Kumbuka kisa cha juzi tu cha Gadhafi? yuko wapi? kiko wapi? na kilichomponza ni kitu kidogo tu, kusema kuwa sasa hatumii tena US$ kwa kuuza mafuta yake. Hao jamaa washasema "you're either with us or you are against us". Na hiyo si US pekee ni yeyote yule mwenye technology, atakufundisha kuendesha gari, ku repair gari, kui assemble, lakini hakufundishi namna ya chuma cha kuunda engine wala gear box kinachanganywa vipi, hakuoneshi hata ulie. Hiyo ndio technology. Hata patient yake hakupi.

Leo unasikia chocolate ya uswisi ndio inasifika duniani kwa uzuri na ubora na ughali wakati hawalimi cocoa, kulikoni? ni technology waliyonayo ya kuisindika hiyo cocoa na kuifanya mpaka iwe chocolate, hizo ndio skills, na hawakupi hata ulie machozi. Lakini unataka waje wafunguwe kiwanda haoa na kiwe chini yao, hapo hakuna matata, ni win win situation, uwaambie nipeni technology na skills zenu nikafunguwe kiwanda cha chocolate kama zenu wakupe? wao wakale wapi? sana sana wanakupa kanya boya tu, hapo ndio wamekuona mjinga huyu tumtoe njiani.

Nchi yoyote yenye technology wanalinda technology zao kwa hali na mali, ndizo zinazowapa nguvu kiuchumi.

Leo uende tu ukawaambie "nipeni" wakupe? mawee!

Win win situation nakubaliana nayo, lakini hizo za Slaa. Mawee!
 
Has disrupted
 
Najua Dr slaa ndio rais wangu,wale walokimbilia kujitangazia ushindi kupitia tume yao lazima wadhalilike kwa namna kama hii.
Go Dr.slaa, Go CDM,go peoples power.
 
FaizaFox anajichanganya kweli,Haelewi hata kinachojadiliwa hapa yeye anabisha tu.Si kweli kwamba tutaenda kwa Wamarekani kisha tuwaambie tupeni technology yenu tukaitumie kinachozungumziwa hapa ni win win situation katika trade partnerships na kwamba si vizuri kwa Tanzania kuendelea kutegemea misaada ya Fedha kuendesha uchumi wake kama Wafadhili watataka kutupa misaada basi si vibaya wakatupa misaada ya kiutaalamu ili tuweze kujitegemea kwasababu hakuna msaada unaotolewa bila malipo na hivyo ni wakati muafaka kwa Serikali za Afrika kuhitaji misaada ya Kiutaalamu itakayosaidia kutengeneza fedha zaidi siku za baadaye na hata kuweza kulipa madeni kwa Wahisani.Tatizo la Viongozi wabinafsi,walafi na wenye uchu na utajiri wa haraka wanakimbilia misaada ya fedha ili wakwapue halafu watakakuja kulipa ni Watanzania wa kawaida na vizazi vyao.
 
Nani alikwambia anakaa kusubiri? wamesema kuhusu vyandarua tukawaonesha picha za kiwanda.

Kitu kimoja uelewe unaweza kuwekewe kiwanda cha viatu, kwani hatuna? lakini uwe tegemezi la vipuli vya hicho kiwanda. Bila kuwashirikisha wao, sahau.

Hiyo mifano unayotoa ya South Afrika na Korea na China kote huko wana viwanda "under license", ni win win situation, huwezi leo kwenda kuwaambia sina haja ya fedha yenu ya kodi nataka mnipe technology yenu, watakuona punguani tu, na hapo ndipo watakapokuumiza zaidi.

Kumbuka Nyerere alifanya nini? aliweka viwanda, alitaifisha viwanda, mashamba (yaliokuwa yana export kuliko nchi yoyote katika Africa), akatangaza sasa tunajitegemea, viko wapi? yako wapi? kiko wapi?

Kumbuka kisa cha juzi tu cha Gadhafi? yuko wapi? kiko wapi? na kilichomponza ni kitu kidogo tu, kusema kuwa sasa hatumii tena US$ kwa kuuza mafuta yake. Hao jamaa washasema "you're either with us or you are against us". Na hiyo si US pekee ni yeyote yule mwenye technology, atakufundisha kuendesha gari, ku repair gari, kui assemble, lakini hakufundishi namna ya chuma cha kuunda engine wala gear box kinachanganywa vipi, hakuoneshi hata ulie. Hiyo ndio technology. Hata patient yake hakupi.

Leo unasikia chocolate ya uswisi ndio inasifika duniani kwa uzuri na ubora na ughali wakati hawalimi cocoa, kulikoni? ni technology waliyonayo ya kuisindika hiyo cocoa na kuifanya mpaka iwe chocolate, hizo ndio skills, na hawakupi hata ulie machozi. Lakini unataka waje wafunguwe kiwanda haoa na kiwe chini yao, hapo hakuna matata, ni win win situation, uwaambie nipeni technology na skills zenu nikafunguwe kiwanda cha chocolate kama zenu wakupe? wao wakale wapi? sana sana wanakupa kanya boya tu, hapo ndio wamekuona mjinga huyu tumtoe njiani.

Nchi yoyote yenye technology wanalinda technology zao kwa hali na mali, ndizo zinazowapa nguvu kiuchumi.

Leo uende tu ukawaambie "nipeni" wakupe? mawee!

Win win situation nakubaliana nayo, lakini hizo za Slaa. Mawee!

Nadhani unaongea lugha ile ile ya Slaa na ninayoiongea hapa!! Flow ya technology kutoka nchi zinazoendelea kwenda nchi zisizoendelea ina vigezo vingi na si bla bla za kwetu za bila vitendo. Mimi sijasema watakupa hiyo technology perse na sidhani mantiki ya Slaa ilikuwa hiyo. Nimezunguka nchi mbali mbali na kuona ninachokisema. Hapa kwetu hata hiyo win-win situation hakuna kwa sasa. Wakati wa Nyerere tulikuwa na hiyo win-win situation na ndio maana nchi kama Italia (TIPA), US(General Tyre), etc vilikuwa ni viwanda vya ubia. Walioviua viwanda hivyo ni sisi wenyewe. Hivi unataka kuniambia leo hii kuna wini-win situation kwenye investments kutoka nje hapa Tanzania? Leo hii unasema tuna kiwanda cha viatu, zaidi ya buti za Jeshi hebu niambie hicho kiwanda kiko wapi? Bora si iliuziwa wahindi wakahamisha mitambo kwenda nchi jirani na kuishia kukichoma? Kama ndala ni viatu, well and good!! Leo hii hata soli ya viatu hatuzalishi. Kwa taarifa yako Tanzania inaagiza pairs zaidi ya milioni 40 kwa mwaka za viatu, tena vingi ya hivyo viatu viko below standard. Haya maneno ya kuwa utapigwa na mataifa makubwa ni kufikiri chini ya kiwango. Leo hii Ghana ina-control mafuta yake iliyogundua kwa almost asilimia 80 na wamegundua mafuta hayo chini ya miaka mitano iliyopita. Exploration ilifanywa na Kampuni ya Wamarekani, sisi kwenye gesi tuna strategy gani zaidi ya kuachia tu kama wajinga kwa kisingizio cha kiswahili eti tutapigwa. Leo hii unasema eti Ghadafi aliuwawa kwa sababu ya kutaka kuuza mafuta yake kwa kwa sarafu nyingine, hizo ni hadithi za mtaani. There was beyond dola! Mbona walishindwa kumuua Chavez mpaka akajifia mwenyewe. Kama umekwenda kwenye Global meetings, Asia huwa wanakwenda na agenda, same to South America na Europe, Africa huwa tunakwenda kusikiliza na kufanya shopping. Wenzetu huwa wanatucheka sana sana mpaka inatia aibu!! Shida ni ukoloni uliojaa kwenye fikra na matendo yetu.
 
Back
Top Bottom