Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!
Changu faiza, ebu linganisha hiyo speech ya Slaa na ile ya dokta zaifu jakaya from m.s0ga ya mwisho wa mwezi. Utata mtupu!
Btw mimi ni mpenzi wa hii kitu 0713. Waweza kunisaidia nikajinafasi kwa sikukuu ya iddi inayokuja wiki ijayo?
Wanajamvi;
Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii.
Angalia link hapo chini;
Siasa 254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of the University of Samford-USA.
It was really a Stunning Speech.
God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better Tanzania.Together we Can.

ni kweli mkuu slaa ni zaidi ya hazna ya nchiChadema Inapafwa kumtumia Slaa vizuri kwani ni azina.
- Speech zake zimeshindwa Chalinze, Kalenga, Kata kati ya 27 kaishia kupata 3 sasa leo unasema speech zake zimekubalika wapi huko ambako hakuna wapiga kura wa bongo? Sasa itasaidia nini speech zake kukubalika nje ya nchi badala ya Chalinze alikopigwa kama mbwa mwizi!!
Le Mutuz System