kuna mtu humu humu ndani nimemshauri kama kweli yeye ni Ant-CDM basi akosoe na ile speech
Speech imeenda shule sio ile ya kwenda kuomba net na ukiulizwa kwanini nchi yako ni maskini useme hata mimi sijui
nimeambiwa,nimeambiwa na mke wangu kitandani kuwa tindu lisu hafai,anakufanya ukose raha mume wangu.
uwezo wa akili wa mtu unaathiriwa sana na aina ya makuzi aliyokulia. mtu aliyekulia katika utamaduni wa "zidumu fikra za ... " ni vigumu kuukiuka utamaduni huo. mtu anaweza kuheshimika kama atachukua msimamo tofauti na kuutetea msimamo wake na pia kukubali watu wengine watofautiana naye. Ingawa Dr. anachukuliwa na baadhi ya watu kwa muasi kwa kuachana na useje/ukasisi mimi naona msimamo ni wake kuonyesha tofauti kimtizamo na kurudi kwenye asili( nature) bila kuutukana mfumo alioukimbia. Pili Dr Slaa alikulia ndani ya mfumo wa "zidumu fikra .. " lakini akaamua kuuacha na kuingia katika mfumo "mabadiliko ni lazima" na wale wahafidhina wametumia misimamo hii ya Slaa kama uasi lakini Slaa amesimama kidete na falsafa zake. hataki kugeuka jiwe. watu wengine wanakanyagwa na kumiywa ndani ya mfumo wa kihafidhina lakini wanajikaza na maumivu na kusema tuko pamoja bila kupaza sauti kama Dr. Slaa. Kama tunataka kuendelea ni lazima tuchukue misimamo ya kimapinduzi na kimaendele na kuitetea bila kutukana, kukejeli n.k. bali kujenga hoja kuntu. Hotuba ya Dr ni dira mpya kwetu na msimamo wa mataifa kama ya kwetu kama kweli tuko objective na sio kuponda tu kwa vile aliyesema hayo hatumpendi!
Chadema Inapafwa kumtumia Slaa vizuri kwani ni azina.
uwezo wa akili wa mtu unaathiriwa sana na aina ya makuzi aliyokulia. mtu aliyekulia katika utamaduni wa "zidumu fikra za ... " ni vigumu kuukiuka utamaduni huo. mtu anaweza kuheshimika kama atachukua msimamo tofauti na kuutetea msimamo wake na pia kukubali watu wengine watofautiana naye. Ingawa Dr. anachukuliwa na baadhi ya watu kwa muasi kwa kuachana na useja/ukasisi mimi naona msimamo wake ni kuonyesha tofauti kimtizamo na kurudi kwenye asili( nature) bila kuutukana mfumo alioukimbia. Pili Dr Slaa alikulia ndani ya mfumo wa "zidumu fikra .. " lakini akaamua kuuacha na kuingia katika mfumo "mabadiliko ni lazima" na wale wahafidhina wametumia misimamo hii ya Slaa kama uasi lakini Slaa amesimama kidete na falsafa zake. hataki kugeuka jiwe. watu wengine wanakanyagwa na kumiywa ndani ya mfumo wa kihafidhina lakini wanajikaza na maumivu na kusema "tuko pamoja" bila kupaza sauti kama Dr. Slaa. Kama tunataka kuendelea ni lazima tuchukue misimamo ya kimapinduzi na kimaendele na kuitetea bila kutukana, kukejeli n.k. bali kujenga hoja kuntu. Hotuba ya Dr ni dira mpya kwetu na msimamo wa mataifa kama ya kwetu kama kweli tuko objective na sio kuponda tu kwa vile aliyesema hayo hatumpendi!
Namchukia babu kwa tabia yake ya uzinzi uliowazi na kupora mke wa mtu kwa kutumia wadhifa na fedha zake. Yule jamaa analalamika sana.
Pia amesaliti kanisa la bwana na kukimbilia zinaa
logic hapa ni kuwa tunataka maarifa zaidi na si vitu. mfano badala ya kujaziwa neti za mabilioni tungepewa ujuzi na teknologia ya kuzitengeneza neti na kuimarisha elimu namna ya kujikinga na mbu. Neti tulipewa sawa ni vema maana zimesaidia kupunguza malaria lakini baada ya muda malaria itarudi maana neti zimechakaa ...Hotuba ya kumwabia mtu sitaki fedh yako ya kodi nataka uwezo "skills" zako?
Hivi hiyo ni akili kweli? huyo mtu akikupa wewe skills zake atalipa hiyo kodi yake? atakuuzia nini wewe ili alipe kodi? na wewe una mali ghafi yeye ana skills. Hapo sasa!
Namchukia babu kwa tabia yake ya uzinzi uliowazi na kupora mke wa mtu kwa kutumia wadhifa na fedha zake. Yule jamaa analalamika sana.
Pia amesaliti kanisa la bwana na kukimbilia zinaa
logic hapa ni kuwa tunataka maarifa zaidi na si vitu. mfano badala ya kujaziwa neti za mabilioni tungepewa ujuzi na teknologia ya kuzitengeneza neti na kuimarisha elimu namna ya kujikinga na mbu. Neti tulipewa sawa ni vema maana zimesaidia kupunguza malaria lakini baada ya muda malaria itarudi maana neti zimechakaa ...
logic hapa ni kuwa tunataka maarifa zaidi na si vitu. mfano badala ya kujaziwa neti za mabilioni tungepewa ujuzi na teknologia ya kuzitengeneza neti na kuimarisha elimu namna ya kujikinga na mbu. Neti tulipewa sawa ni vema maana zimesaidia kupunguza malaria lakini baada ya muda malaria itarudi maana neti zimechakaa ...
Wednesday, 19 October 2011
20:58
0
digg
Boniface Meena
WANASAYANSI nchini wako katika hatua za mwisho kukamilisha kinga ya ugonjwa wa malaria baada ya utafiti kuonyesha kuwa chanjo mpya iitwayo RTS,S ambayo inaweza kukinga ugonjwa huo kwa asilimia 50. Hayo yalielezwa Dar es Salaam jana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Afya Ifakara, Dk Salim Abdulla alipokuwa akizungumza katika warsha kuhusu matokeo ya utafiti wa chanjo hiyo.
Source: https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/184117-ugonjwa-wa-malaria-sasa-wapata-chanjo.html
unaweza kumukumu kwa kukosea kwani hata wewe unaweza kuwa na madhambi fulani na wakati huohuo una mchango muhimu kwa jamii. pia wako wengi wanaojifanya wasafi kumbe wakiwa sirini ni maovu matupu. je, ni wanadoa wangapi wanajifanya wema lakini nje ni utata mtupu? ni makasisi wangapi wanang'ang'a madhabahu lakini ni utata mtupu? usihukumu maana nawe waweza hukumiwa.Namchukia babu kwa tabia yake ya uzinzi uliowazi na kupora mke wa mtu kwa kutumia wadhifa na fedha zake. Yule jamaa analalamika sana.
Pia amesaliti kanisa la bwana na kukimbilia zinaa
Hotuba ya kumwabia mtu sitaki fedh yako ya kodi nataka uwezo "skills" zako?
Hivi hiyo ni akili kweli? huyo mtu akikupa wewe skills zake atalipa hiyo kodi yake? atakuuzia nini wewe ili alipe kodi? na wewe una mali ghafi yeye ana skills. Hapo sasa!
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!
ingia hapo uone aibu yakoUnited States of America | Ranking Web of UniversitiesNimeiona na nimeisikia ni utumbo mtupu, haina cha maana hata kimoja, yupo anakisifia chuo ambacho hakina sifa hata hapo USA hakipo hata kwenye 1,000 bora ya USA hakipo hata kwenye 2,000 bora ya dunia. Kwi kwi kwi teh te teh.
Babu anasema anataka wampe "skills", duh! bure bure? wakati wao USA wanatafuta skills dunia nzima ii waendelee kubaki kwenye ushindani wa technology. Si hapo ndipo nnapomuona babu kidogo ana matatizo.