Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya


Makubwa hayo, (sitaki msaada, nataka msaada!) babu kachanganyikiwa huyo.

cc Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Sasa huko ndio kujadiliwa na media "ZA" Kenya? mnanchekesha!
FaizaFoxy, Nadhani wewe hata huelewi alichokiongelea Daktari....Kwa hiyo the BEST THING KWA MTU KAMA WEWE NI :violin::violin: IGNORE :frusty:
 
Last edited by a moderator:
Tunahitaji kupata hotuba zinazoishi kama hizi..sio za kila mwezi zinazokwenda na matukio. Mara nimembiwa, nimeambiwa, nimeambiwa, nk.

ha ha ha ahhhaaaa!

Mwenyekiti Kikwete anachoambiwa ndio hicho hicho...mnataka afanyeje sasa?

kha!
 
Kila mtu anaweza kusema, lakini kutenda ikawa sifuri, hizi ndio zile speech za kwenye tungo za prof J, za kuleta mabomba ya mazima, ukijaribu kuangalia asilimia kubwa ya wafuasi wa chadema ni wale watu wenye hulka ya kukaa na kuota siku nzima lakini kwenye utendaji ni sifuri, yeah amesema , amesema....kila mtu anasema...huyu mtu wenu angetushawishi na wengine kama angekua amefanya jambo la ajabu sana katika jimbo lake tofauti n amajimbo mengine, wenye akili zao hupima watu kutokana na historia za maendeleo walizofanya, lakini kwa huyu mtu, hakuna anachofanya zaidi ya kusema NITA..
 

Soma content ikuondolee magamba kwenye ubongo wako
acha kujadili kitu ambacho hakina umuhimu mkubwa
cha muhimu hapa ni content ya speech
we magamba
 

Hao watakuwa hawajui Kiingereza, Slaa katika hotuba anasema hataki misaada halafu hotuba hiyo hiyo anawaomba waje kusaidia. Si hatari hiyo?
 

IGNORE IGNORE IGNORE IGNORE IGNORE....The best thing for u......
 

Niseme nini kwako Dr. Slaa...Wewe ndo kimbilio la Watanzania..
 

Nimekupata, nimekuelewa...Kwi kwi kwii...
 

Mkuu usiwashangae vijana wa lumumba buku saba fc kwakuwa kuibeza Chadema au kubeza chochote kinachofanywa na Dkt. Slaa ndiyo masharti ya ajira yao hapo mtaa wa lumumba!

Tatizo jingine la hawa buku saba fc ni kutokufahamu lugha ya malkia kwahiyo hawaelewi kilichosemwa na DKt. Slaa, kwakuwa wengi elimu yao ni ndogo sana na uelewa wao pia ni mdogo sana.
 

Mkuu katika suala la utendaji umeongea point....Serikali ni ya kwenu...mnakusanya kodi..mmeishia kuzitafuna na kujitajirisha na kujishibisha matumbo yenu...mmeshindwa ku improve hali ya maisha ya watanzania...Tena Dr Kawasaidia kuwaambia mna very excellent paper work lakini utendaji sufuri....At this time tunahitaji Mtu kama Dr Slaa atuongoze taifa letu...Kwa miaka 15 ya Ubunge Dr Slaa ameifanya karatu kuwa Halmashauri ya kuigwa.....kwa miaka aliyokuwa bungeni he was the best MP.....Kwa miaka ya ukatibu mkuu wa CHADEMA amewezesha chadema kukua kwa kasi ya ajabu....Tunahitaji nini zaidi kuelewa Dr anaweza...We need Dr Slaa.TOGETHER WE CAN
 
Nimeipenda singo mpya ya aliyotoa dhaifu,sababu napenda sana taraabu,video lini? Dr Slaa,tunakupenda,tunakuhitaji na tunamwomba Mungu akupe afya na akulinde,wote tuseme amen
 
Tunahitaji kupata hotuba zinazoishi kama hizi..sio za kila mwezi zinazokwenda na matukio. Mara nimembiwa, nimeambiwa, nimeambiwa, nk.

hahaaaa NIMEAMBIWA ....mara Rwanda sijui nimeomba msamaha kwa Kagame yaishe mara oooh Tundu Lissu sijui nini ..JK wewe ni rais lakini mambo yako ni kama katibu tarafa
 
Nimeipenda singo mpya ya aliyotoa dhaifu,sababu napenda sana taraabu,video lini? Dr Slaa,tunakupenda,tunakuhitaji na tunamwomba Mungu akupe afya na akulinde,wote tuseme amen

Amen...Dr Slaa anastahili sala zetu watanzania...Is the best man to have as a country leader...Kutuvusha kutoka kwenye dimbwi hili tulipo....Watanzania let us Join hands...TOGETHER WE CAN
 
duuh i'm nothing to say but well done
 
Mungu hatendi miujiza kwenye mambo yanayoweza kutatuliwa na sisi wenyewe..2015 tuiondoe madarakani CCM ..na Mungu atatuongoza..
 
Well said. Kuna watu ambao hata uelewa wao ni wa kuhojiwa. Nadhani wanataka Dr. Slaa ajenge barabara, hospitali, n.k. ndiyo waseme ana uwezo wa kufanya kitu. Makusanyo ya hela zetu zote tunawapa lakini wanatumia kwa vitu vya kiji.nga na wizi. Kama wanataka waone Dr Slaa ana uwezo wa kusimamia kiasi gani waruhusu kodi zetu wanazochukua zikusanywe na CHADEMA, angalao PAYEE pekee yake, waone zitafanya nini. Namna nyingine ni wehu kutegemea Dr. Slaa atekeleze miradi ya maendeleo wakati makusanyo ya kodi yanaenda serikali ya CCM. Poor arguments!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…