Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

Many African leaders are believed to come to Washington and other western capitals begging for handouts known as foreign aid. This has created a notion in the minds of many that Africans are poor and lazy..

Maneno mazito sana haya...
 
Inaumiza kichwa viongozi sasa .Na hii speek kaandika mwenyewe si kwamba kaandikiwa .Kazi kubwa

Mkuu ,Ni kweli Dr Slaa ana vision ya Tanzania tuitakayo...hapo ameandika yeye...verys straight English...mawazo well presented....Imefika wakati watanzania tupate kiongozi anayeweza kurudisha hadhi ya taifa letu kimataifa...Kiongozi anayetambua maskini wa Kitanzania wanataka nini...TOGETHER WE CAN.
 
Wanajamvi;

Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii.

Angalia link hapo chini;

Siasa 254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of the University of Samford-USA.

It was really a Stunning Speech.

God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better Tanzania.Together we Can.

I appreciate you SLAA always you touch the angle.
 
CCM kukubali hadi damu iwatoke puanu , masikioni mdomoni wakuwa wamechoka sana .
 
We need our resources to benefit our people. We need to create jobs for our people, we need to improve our health care, we need to improve our education, our infrastructures, communication and economy as a whole. And this is only possible if can with the wealth that we have all we need is better education for our people
 
Ni Mtazamo wangu tu wadau, nimefungua post hii kwa muwashawasha mkubwa lkn at the end nakutana na hiki[h=4]1 comment:[/h]
  1. b36-rounded.png

    MAINAOctober 10, 2013 at 3:09 AM
    Tanzanians have a long way to go.....The have at first eradicate the slow culture especially in everything they do...But Still the corruption challenges Tanzania faces is not different as compared to many African countries including Kenya.Reply

Just a single comment only pamoja na uzuri wa hotuba ya muheshimiwa! nadhani mtoa mada next time tafakari juu ya kichwa cha habari ili kiendane na contents zilizomo ndani.

Umeanza kwa mbwembwe sana nanukuu ''Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii." huo wingi nilitegemea ungekuwepo kwenye comments. Anyway nimalizie Hotuba ilikuwa nzuri sana"
 
Maneno mazito sana haya...

Mkuu ,ile speech imeshiba...hebu ona na hayo hapo chini;

"Foreign aid money are your taxes, your sweat which should work for your benefit not for people sitting on their wealth. More important than your dollars, are your brain trust, investments and technological advantage. This is what we need to utilize our resources and also in planning for years beyond our non-renewable resources"
 
Speech kama hizi ndio tunazozihitaji sio za kushambulia watu

Our country rich in resources is being exploited by foreign entities, while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I represent is poised to changed that, and the most important tool we need is the development of human capital

Dr. Slaa, imani yetu iko kwako...
 
Ni Mtazamo wangu tu wadau, nimefungua post hii kwa muwashawasha mkubwa lkn at the end nakutana na hiki1 comment:

  1. b36-rounded.png
    MAINAOctober 10, 2013 at 3:09 AM
    Tanzanians have a long way to go.....The have at first eradicate the slow culture especially in everything they do...But Still the corruption challenges Tanzania faces is not different as compared to many African countries including Kenya.Reply

Just a single comment only pamoja na uzuri wa hotuba ya muheshimiwa! nadhani mtoa mada next time tafakari juu ya kichwa cha habari ili kiendane na contents zilizomo ndani.

Umeanza kwa mbwembwe sana nanukuu ''Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii." huo wingi nilitegemea ungekuwepo kwenye comments. Anyway nimalizie Hotuba ilikuwa nzuri sana"

Mkuu....Dont undermine the issue of the topic being considered for discussions even there.Many people are reading it.Kuna watu wengi hawapendi pia ku comment but may people do read......Show me which one was even considered for publishing in the media za hawa jirani zetu
 
Kwa hii speech,Dr Slaa ni mkombozi wa wanyonge,shujaa wa Tanzania,Rais wa Tz na simba wa vita ya ufisadi Tz.Kama mie ningekuwa mwanaccm lakini kwa bahati mbaya sana sio mwanaccm ningejiunga na chadema mara moja.Hii hotuba imenivuta sana...imetulia,imeshiba na iko kwa ajili ya kuinua na kumkomboa mlalahoi wa tz.Kwa hali hii nitazidi kuipenda CHADEMA daima.Dr slaa kanyaga mwendo....tuko nyuma yako.Hawa wapuuzi wa magamba wakileta zao humu jamvini tupo tutawajibu kikamilifu.
 
Kula na hii...

We are currently having inequitable trade, where far eastern countries are exporting their poor populations to compete for jobs with our citizens. They are even exporting to us their prisoners to work on our roads yet millions of our young men have no jobs. This is not possible in any civilize society, unfortunately, because our rulers have signed contacts shrouded in secrecy whose contents are only known to them

Some of these individuals have turn to insult us as a nation. They are now interfering on our sovereignty, publicly aligning themselves with political parties. A whole ambassador standing on a political platform to address a political rally, and has ignored the public call for him to leave the country!

This is not the kind of trade we are looking for. We are looking for partners that will work with us to develop our resources in order to benefit our people; Partners that will bring to our country new skills, and also create jobs for our graduates. We need your expertise so we can turn our country into a bread basket of Africa. America is the world's land of milk and honey where everyone wants to be, that's the model we want to learn from
 
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!

Wewe ndiye unajichanganya na inawezekana umesoma au kusikiliza kipande kidogo cha hotuba yake!

Kuomba msaada wa neti na kuomba msaada wa teknolojia au kiwanda cha neti ni vitu viwili tofauti.

Kuomba msaada wa kitoweo cha samaki na kuomba msaada wa kufundishwa ujuzi wa kuvua ni vitu viwili tofauti.

Dkt. Slaa anataka chuo hicho cha Sanford Uni7ersity kiwasaidie vijana wa kitanzania kwa kuwapatia ujuzi na taaluma ili hatimaye watumie taaluma na ujuzi walioupata kuiendeleza nchi badala ya kutegemea misaada ya fedha toka nchi za kigeni wakati tunazo rasilimali za kutosha kutufanya tujitegemee.
 
Tunahitaji kupata hotuba zinazoishi kama hizi..sio za kila mwezi zinazokwenda na matukio. Mara nimembiwa, nimeambiwa, nimeambiwa, nk.

Dr. Kuambiwa Bin Kusikia; anakandia watu; Wazushi, wanafiki, na waongo bado anataka kuzungumza nao jambo lile lile walilodanganya!! OMG!!!!!!!!!!! Si asaini tu muswada maisha yaendelee kuliko kuzungumza na wazushi!!
 
Wanajamvi;

Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii.

Angalia link hapo chini;

Siasa 254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of the University of Samford-USA.

It was really a Stunning Speech.

God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better Tanzania.Together we Can.

That was a blockbuster; a master piece; Imenikubusha speech za Mwalimu Nyerere; Osagyefo Kwame Nkrumah na Martin Luther King! Kina Dr. Benson Bana na wataalamu wetu wengine Coke Zero; waisome hiyo speech waikariri na ifundishwe kwa wanafunzi wa political science na development studies. Well done dr. Slaa; viva CDM
 
Wewe ndiye unajichanganya na inawezekana umesoma au kusikiliza kipande kidogo cha hotuba yake!

Kuomba msaada wa neti na kuomba msaada wa teknolojia au kiwanda cha neti ni vitu viwili tofauti.

Kuomba msaada wa kitoweo cha samaki na kuomba msaada wa kufundishwa ujuzi wa kuvua ni vitu viwili tofauti.

Dkt. Slaa anataka chuo hicho cha Sanford Uni7ersity kiwasaidie vijana wa kitanzania kwa kuwapatia ujuzi na taaluma ili hatimaye watumie taaluma na ujuzi walioupata kuiendeleza nchi badala ya kutegemea misaada ya fedha toka nchi za kigeni wakati tunazo rasilimali za kutosha kutufanya tujitegemee.

Mpe hii mkuu Mwita Maranya
Chadema party believes on the free market economic philosophy in which individual creativity is rewarded. We need your partnership in fostering individual innovation within our people. We don't need your tax money; neither do we need your mosquito net donations, we need your skills.

Last edited by a moderator:
dr. kamaliza........tumpe zawadi gani napendekeza tumpe urais.....
 
Back
Top Bottom