Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

Wanajamvi;

Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa
imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na
jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye
mitandao yao ya kijamii.

Angalia link hapo chini;

Siasa
254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of
the University of Samford-USA.

It was really a Stunning Speech.

God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better
Tanzania.Together we Can.

kaka yangu Dr Slaa nakukubali sana.

Aisee hii speech ya Dr Slaa ni noma! ningekua na mda ningeitafasiri kwa kiswahili ili kila mtanzania aisome
kweli nilimpa kura yangu 2010 ki Halali kabisa
hata nikiweka siasa pembeni Dr ni great thinker wa ukweli
kwa wazalendo wa kweli na watu wenye mapenzi mema na nchi yetu huyu ndio Rais wetu 2015
 
Speech imenikumbusha kitabu cha mwanahistoria na mpambanaji wa ukoloni Walter Rodney. Hakika ukishakuwa smart, utabaki smart siku zote.
Maneno Yale Kwa kiongozi wa nchi anayezingatia ustawi wa watu wake na Taifa lake, basi atafikria sana na kuchambua maudhui yake na ataitumia kama kipimo cha matendo yake Kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa lake na watu wake.
Kwa wamarekani vijana waliosikia speech hiyo (ambao Ni viongozi, wawekezaji na wataalam wajao katika Taifa Lao) wataitunza na kuitumia ipasavyo, lakini Kwa Tanzania imefutika masikioni na mioyoni mwetu.
Asante Dr. Kutukumbusha maneno ya wana wa Africa Enzi za ukombozi wa Africa.
 
Napata shida kidogo maana Manifesto ya Elimu kwanza ni ya Mh. Lowasa; CCM wao ni Kilimo Kwanza, CUF sijui Fursa sawa kwa wote.........hii ya Elimu kwanza was there in 2010 CDM election manifesto? Siamini kama Mh.Lowasa hii kitu amekopa CDM bali CDM wanataka kupora hii slogan ya Mh. Lowasa.

NB: Mimi si mwanachama wa chama chochote
 
Wanajamvi;

Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii.

Angalia link hapo chini;

Siasa 254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of the University of Samford-USA.

It was really a Stunning Speech.

God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better Tanzania.Together we Can.

This is how we go,A LOV E UR MOVES DR. SLAA
 
Wacheni uongo, hako kamebandikwa kwenye blog moja tu na comment iko moja tu. Sasa ni wapi media "za" Kenya zinapoijadili?

Hivi uongo unawasaidia nini? Siwashangai, ikiwa viongozi waongo, nyie misukule si ndio kabisaaa.
 
That was a blockbuster; a master piece; Imenikubusha speech za Mwalimu Nyerere; Osagyefo Kwame Nkrumah na Martin Luther King! Kina Dr. Benson Bana na wataalamu wetu wengine Coke Zero; waisome hiyo speech waikariri na ifundishwe kwa wanafunzi wa political science na development studies. Well done dr. Slaa; viva CDM

Mkuu kwa Dr Benson Bana hapo umekosea...huyo jamaa sio mtaalamu..ila ni mchumia tumbo wa CCM
 
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!

Siamini kama kweli uelewa wako ni mdogo kiasi hiki,likely ni athari za siasa uchwara.Amelielezea vema hlo mpaka akatumia Rwanda kama mfano,misaada ni relief ya muda mfupi ktk harakati za kujenga taifa imara!!Ni aibu 50yrs post independence vichwa vinatuuma kwenye sector ya afya eti kwa sababu USA hawajaelewana kwenye budget yao.
 
Wacheni uongo, hako kamebandikwa kwenye blog moja tu na comment iko moja tu. Sasa ni wapi media "za" Kenya zinapoijadili?

Hivi uongo unawasaidia nini? Siwashangai, ikiwa viongozi waongo, nyie misukule si ndio kabisaaa.

Unalia na nani? gamba
 
Hiyo hiyo moja mzee wa magogoni amewahi kuandikwa hata na hiyo moja....at least kwenye positive thing kama hii
 
Napata shida kidogo maana Manifesto ya Elimu kwanza ni ya Mh. Lowasa; CCM wao ni Kilimo Kwanza, CUF sijui Fursa sawa kwa wote.........hii ya Elimu kwanza was there in 2010 CDM election manifesto? Siamini kama Mh.Lowasa hii kitu amekopa CDM bali CDM wanataka kupora hii slogan ya Mh. Lowasa.

NB: Mimi si mwanachama wa chama chochote

Hapa sidhani kama tunaangalia nani ana hati miliki na nini...hapa tuachoangalia ni nini kinatakiwa kwa Tanzania Yetu Kuendelea.....
 
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!
mbona iko wazi mkuu au ka lugha kanasumbua unashindwa kuona tofauti!
 
Sijui Nyerere amerudi tena!!
Maana hii maneno tulishasahau kama yataongelewa na mtanzania tena baada ya kifo cha mwalimu.
tulijua sasa ni Mzandiki,muhuni, muongo mutoto ya magongoni
 
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!

Wale waalimu wa hisabati kutoka Jamaica wameshafika?
 
Unalia na nani? gamba

Posted by Daniel Ominde at 2:39 AM mpaka sasa ni 3:19 PM, zaidi ya masaa 12 yamepita, ka comment kamoja tu. Nendeni mkajaze comments ionekane inajadiliwa kwa sana.

Hizo media "ZA" Kenya ziko wapi? si mngesema imebandikwa kwenye ka blog ka moja na ina comment moja tu mpaka sasa!

Hivi huwa mnaona sifa kujidanganya hata nafsi zenu?
 
Mungu azidi kumlinda siku zote, haya haya haya vijana wa lumumba, njoni some hii hotuba halafu rusheni mawe, HUYU NDIYE TUNAYE MTAKA DAIMA SIO WATU WA AKILI ZA KUPEWA. VIVA CHADEMA.IAM PROUD TO HIM AS SON OF TANZANIA.
Chadema Inapafwa kumtumia Slaa vizuri kwani ni azina.
 
Hapa Ghana, nilimwonesha mmoja tu mwanzoni, mfanyakazi mwenzangu, baada ya kama dakika 10, wafanyakazi karibu wote 33, kila mmoja alikuwa na kopi ya hotuba hiyo, na kila mmoja akiomba digital copy ili aweze kuwatumia wenzake, na wengine wamesema wanawatumia viongozi wao wa serikali na wabunge. Kila mmoja ameifurahia, na kusema ndivyo viongozi wa Afrika wanavyotakiwa kufikiri na kutenda. Hotuba hiyo imekuwa ni gumzo.

Kuna yale maneno ya kwenye Biblia, 'Nabii hasifiki nyumbani', nimeamini. Wakati Watanzania walio wengi wameichukulia ni hotuba ya kawaida na baadhi kuibeza, wenzetu nchi nyingine wameipa uzito unaostahili. Ghana ipo juu sana kiuchumi na kidemokrasia ukilinganisha na Tanzania lakini kila aliyeisoma hotuba hiyo amestajabia uzito wa maneno yaliyopo ndani yake, na wengi wanasema kuwa huo ndiyo ulitakiwa kuwa msimamo na mwongozo wa utawala wa Africa.
 
Back
Top Bottom