Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,233
Wanajamvi;

Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii.

Angalia link hapo chini;

Siasa 254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of the University of Samford-USA.

It was really a Stunning Speech.

God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better Tanzania.Together we Can.
 
kuna mtu humu humu ndani nimemshauri kama kweli yeye ni Ant-CDM basi akosoe na ile speech
Speech imeenda shule sio ile ya kwenda kuomba net na ukiulizwa kwanini nchi yako ni maskini useme hata mimi sijui


Mkuu...Speech hiyo imetulia...it is patriotic...objective...short and clear....Kizuri chajiuza bana...Ma CCM wengi hawawezi kujadili content ya Speech...Wataishia kujadili ndoa ya Dr Slaa
 
Mimi soni ajabu yoyote kwa hotuba ya Dr. Slaa kutua kwenye mitandao ya Wakenya. Lakini nalaumu upendeleo wa wazi unaoonyeshwa na Mods humu. Mbona inasemekana hotuba ya "Mzee wa Mipasho" a.k.a Isha Mashauzi ilitua kwenye mitandao ya Waganga wa kienyeji wa Bwagamoyo, lakini hamkuiripoti humu! Je kule kwani haikuwa hadhi yake ile hotuba kutua? Si kila hotuba inatua kwenye sehemu yenye hadhi yake lakini?
 
Lisongeshe our future presidaaaaa, mpaka magamba yawe laini kama kambale!
 
Mmmh nikilinganisha na hii......

HOTUBA YA RAIS KIKWETE KWA WANANCHI YA OKTOBA 2013 - YouTube

Siyo tu kauli hiyo ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu. Nasema hivyo kwa sababu, sipendi kuamini kuwa Mheshimiwa Mbunge amesema yale kwa kutokufahamu ukweli au kwa bahati mbaya. Amesema yale kwa makusudi mazima ya kupotosha ukweli ili pengine isaidie kujenga hoja yake ya kutaka Rais asiteue wale Wajumbe 166 wa Bunge Maalum.

Source: Hotuba ya Rais Kikwete ya mwisho wa mwezi Septemba kwa Taifa - wavuti.com
 
Tanzania ilipofia kuwa na raisi ambaye anadharauliwa na maraisi wa nchi jirani tena wengine ni wavuta bangi basi hiyo ni ishara ya wazi kuwa JK anaidhalilisha Ikulu ya Magogoni.

Mungu azidi kumjalia afya njema Dkt Slaa ili hatimaye watanzania wote wapate kunufaika na utumishi wake. Watanzania 2015 lazima kieleweke, hakuna kurudia makosa!
 
Mkuu...Speech hiyo imetulia...it is patriotic...objective...short and clear....Kizuri chajiuza bana...Ma CCM wengi hawawezi kujadili content ya Speech...

Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!
 
Tunashindwa tu kuwatumia viongozi makini tunabaki kujilaumu na akina Nape na Mwigulu
 
Inaumiza kichwa viongozi sasa .Na hii speek kaandika mwenyewe si kwamba kaandikiwa .Kazi kubwa
 
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!

Dr amesema tunataka kunufaika kwa Technical know how na ni priority No 1 ya Chadema.Sio utegemea kuletewa pesa wakati mmekalia utajiri...na amesema wazi hizo hela zao ni kodi zao...ziwanufaishe wao huko makwao ...sio sisi ambao tumekalia utajiri...amesema tunataka exchange ya technical know how ili tuweze ku zalisha kutokana na rasilimali zetu beyond life ya non renewable resources.
 
Back
Top Bottom