Dr Slaa atikisa Iramba Magharibi- Singida

Status
Not open for further replies.
Mkuu,
Leo wamechelewa kuleta timu ya mpira kutoka Dar? Au ccm wameshagundua ya kuwa haiwasaidii kitu baada ya watu kuchoshwa na usanii? CHADEMA mwendo mdundo...
 
Songeni mbele makamanda, tuna imani kubwa nanyi!
 
 

CCM ni mafisadi na CDM ni walala hoi.
 
Last edited by a moderator:
Kamati kuu CDM mfukuzeni huyu MM haraka jamani! Mbona anaachiwa akiendelea kukiua chama hivi!
 
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CDM. Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeples
 
Hongera Chadema na picha muweke Makene Molemo

Picha zimekuwa adimu sana....y?pia kufanya hadhara kwenye jimbo tofauti na lako ni sahihi....lissu amehutubu kote isipokuwa Iramba magharibi...na ameomba radhi
 
Last edited by a moderator:
DR SLAA NDIYO MTU MAARUFU ZAIDI TANZANIA kwa hivi sasa , POPOTE ATAKAPOTUA NI LAZIMA KISHINDO KITOKEE .
 
Tunaimani kubwa na chadema peke yake ndo chama kinacho wapenda watanzania japo kuwa wengi hawajarifahamu Hilo safi sana Kamanda pambana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…