AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
wewew unatuletea mambo gani wewe zito hafukuziki chadema.
na kwa wasiofahamu pia, muhonga luhanywa ni dada yake zitto kabwe na mbunge wa viti maalum
kajinyongetimueni kwanza zitto ndio tuje tuelewane vizuri maana wanachama mnatuchanganya hatujui tushike lipi na tuache lipi, wanachama wengi tumeshaanza kukata tamaa kabisa sababu kunaonekana hakuna haki kabisa, masaliwa walitumuliwa faster tena kwa ushahidi hasa wa jf lakin zitto tuhuma kibao lakin bado mnachamchekea tu.
Inaumiza sana sio siri.
Mkuu Molemo naona mmeamua kutikisa: Juzi kati Dr. Slaa Katoka huko Kigoma nasikia hakutikisa, juzi Zitto naye kaenda Katikisa vilivyo. Ni mwendo wa kutikisa, huyu akitoka kutikisa huyu anaenda kutikisa zaidi! Mwisho mfanye tathimini kuona nani katikisa zaidi.
Naomba uniulizie kwa kamanda Tundu Lissu; vipi amemalizana na wale madiwani waliokuwa wakimshutumu kutaka kugawa pesa za mfuko wa maendeleo kama pesa zake binafsi?
kwa hiyo ulitaka umlaki wewe?kweli chadema majanga sikia hii slaa amelakiwa na tundu lisu na cristina lisu kwahiyo kalakiwa na ndugu tu basi.
Hiki ndio pekee ulichoweza kuandika!? bila shaka hukuamua kuwasiliana na ubongo wako.
Taarifa isiyo na picha, what a shame?Asante kwa taarifa hii murua
Ok, nyumba ndogo yangu wamekuelewa.Kwa msio na ufahamu, Christina Mugwai ni Dada wa Mh. Tundu Lissu.
Christina Mugwai ni Mbunge wa Viti Maalum Chadema.
Kwa msio na ufahamu, Christina Mugwai ni Dada wa Mh. Tundu Lissu.
Christina Mugwai ni Mbunge wa Viti Maalum Chadema.
Taarifa isiyo na picha, what a shame?
Kwa msio na ufahamu, Christina Mugwai ni Dada wa Mh. Tundu Lissu.
Christina Mugwai ni Mbunge wa Viti Maalum Chadema.
safi sana - kazi a iendelee, safi sana.
mkuu Shardcole na wanachadema wote nadhani ni busara tuwapatie nafasi na muda wa kutosha viongozi wetu ktk kufabya maamuzi sahihi kwenye hii issue ya zitto.
Tunapenda wafuate taratibu zote zilizowekwa kulingana na katiba lakini pia watende haki sawia. Kubwa kulicho yote ni umakini ktk utekelezaji wa maazimio na mipango ukizingatia kwamba adui anaweza akapenyeza kirusi chake kupitia nafasi hii.
Wapinzani wetu wanahaha kutafuta nafasi ya kuiumiza chama kwa hiyo wako tayari kutafuta upenyo wowote including hili la zitto. Mimi nadhani tuiamini sekretariat pamoja na kamati kuu, waendelee na kazi yao na wazidishe umakini zaidi
Na kwa wasiofahamu pia, Muhonga Luhanywa ni dada yake Zitto Kabwe na mbunge wa viti maalum
Rest in peace chadema