Dr. Slaa atazishinda propaganda dhidi yake!

Dr. Slaa atazishinda propaganda dhidi yake!

Acha uongo wewe yaani watu kuhoji kuwa na kadi mbili na kwa nini katelekeza watoto wake ndio kumuongelea sana...

vichwa vya nazi utawajua tu, watoto hawalalamiki ww mmbeya povu linakutoka, eti kadi mbili... katiba yenu magamba inasemaje juu ya uanachama?? huna unachokijua zaidi ya majungu dume zima hata aibu huna!!!!
kweli vijana wa magamba hamnazo..
 
Dr.Slaa ndio tishio pekee no# 1 kwa utawala wa CCM.

Long live our hero Dr.Slaa.
We love you our hero Dr.Slaa.
 
Usihangaike na akina NAPE. Karume ameshafanya hesabu za INTEGRATION na kuja na jibu hili......
1845918e723ad0b5874fa2fb77870925.png
=
CCM-Samaki.jpg

Kumbe Kurume alisoma kombi ya PCCM?. Yaani Physics, Chemistry, Chama and Mathematics.
 
Kwa kawaida hakuna mtu anaweza kwenda na kuanza kupiga mawe kwenye mti usio na matunda ataonekana chizi,bali mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe ili kupata matunda yake,ndivyo ilivyo kwa Dr.W.P.Slaa anashambuliwa kila kona ili umdhoofisha kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala wake Tanzania,Anashambuliwa kutoka serikalini,CCM,vyama ingine vya upinzani na hata ndani ya CHADEMA.lakini ukitaka kuamini Dr.Slaa hana mpinzani itisha mkutano popote Tanzania leo waambie wananchi anakuja Dr.Slaa itakushangaza umati utaofurika.

Hili hakuna mtu asiyelijua hata anayekataa ni kwa sababu ya chuki,lakini ukweli utabaki palepale na kila mtanzania anajua hivyo ndivyo ilivyo.Hivyo ningeshauri watanzania badala ya kuendelea kumshambulia kwa lengo la kummaliza kisiasa ni vema tugeuke tumtie moyo na kumuunga mkono tukijua ana kitu cha tofauti ambacho Mungu amekiweka kwake ili kuwa msaada kwa Taifa hili.
 
Mkuu hilo uliloliandika kila mtu analifahamu ikiwa ni pamoja na ccm. Wanajua mtu anayewanyima usingizi katika kuwania kuendelea kuwa Ikulu ni Dr. peke yake. Matokeo yake wanajifanya kumshabikia mtu weak kama zzk ambaye wanajua wazi hawezi kuleta upinzani wowote kwao.
 
Mmeshikwa pabaya ndugu.. tuntemeke oyeee hahahaha Nape nauye anawapiga kwa id ya tuntemeke nyinyi namsingizia zito
Maisha bwana ngoja mione huu mchezo unavyoenda kwa raundi ya pili 2013 manaa dakika ya lala salama 2014 mmekwishana kipenga kikipigwa 2015 chaliiiii
 
Mkuu hilo uliloliandika kila mtu analifahamu ikiwa ni pamoja na ccm. Wanajua mtu anayewanyima usingizi katika kuwania kuendelea kuwa Ikulu ni Dr. peke yake. Matokeo yake wanajifanya kumshabikia mtu weak kama zzk ambaye wanajua wazi hawezi kuleta upinzani wowote kwao.

We nae umezeeka hadi @##@ yani sasa hapa CCM inaingiaje/,Hivi huoni kwamba unafanya uchokonozi wa kitoto wakishakuja humu wahusika wakakupa za uso utaanza kulalamika,shauri yao.!!!!!!!!!1
 
We nae umezeeka hadi @##@ yani sasa hapa CCM inaingiaje/,Hivi huoni kwamba unafanya uchokonozi wa kitoto wakishakuja humu wahusika wakakupa za uso utaanza kulalamika,shauri yao.!!!!!!!!!1
Waambie waje, najua ukweli siku zote unauma.
 
Huyu mzee huwa ananipa matumaini ya maisha mapya baada ya 2015. Kama asipokuwa mgombea kwa hujuma sitapiga kura mtanisamehe!
 
Swali ninalojiuliza, ni kwa nini kama jeshi la adui mnayepambana lina silaha mbovu iwe jukumu lako kumwambia adui kuwa silaha zako ni mbovu.

CCM just capitalize on the weakness of Slaa to continue to dominate the Tanzanian Politics.
 
Dr.Slaa yuko juu kila mmoja hata CCM wanamtaja sana, wanamhitaji kwa maisha bora kwa kila Mtanzania ambayo CCM wameshindwa kuyaleta kwa miaka 50 sasa.
 
Yan na matunda yenyewe ni mafenesi koo ccm endeleeni kutumia nguvu nyingi sana ila kumbukeni fenesi halichumwi kwa kubondwa mawe, slaaa ni sawa na fenesi, mlema na wengine ni maembe mliwaweza kwa mawe,. Slaaa kibooko
 
Ritz, Inawezekana kweli sisi waongo au tunamtetea babu. Lakini kwa haya yanayoendelea yaliyoanzishwa na Nape nyinyi ndio mtakaofedheeka. Maana inaonesha hata vichwa vyenu havifikiri sawasawa. Hapo ndipo ukweli utakapoonekana.

Kashakiri mwenyewe kuwa anamiliki kadi mbili na akasema kadi ni mali ya mwanachama sasa mwambieni aache kukusanya kadi za watu huko kwenye mikutano yake, awagawie tu kadi za CDM na awaache waedelee kumiliki kadi za vyama vyao vya awali
 
Mwaka mzima umepita katika siasa nimeambulia maswali yafuatayo:-

1. Mara zote CCM wamekuwa wakipambana ili waisambaratishe CHADEMA huku wangine wakitajwa kutumia hata madau ya pesa ili kufanikisha zoezi hilo. Swali:-

Kama Dr Slaa ni mtu anayeiua CHADEMA mbona wana CCM wengi mnamuombea atoke au afukuzwe ili aje mwingine? Hamuoni kuwa akija mwingine CHADEMA haitakufa?

2. Zitto analalamikiwa kwa kutengeneza kikundi cha PM7 ili kukisaliti chama swali:-
CCM Mbona mnampigia debe mtu mwenye tuhuma aingie kwenye uongozi wakati mnajinadi kuwa mnataka CHADEMA itekeleze Demokrasia? Hayupo mtu mzuri wa kusimama zaidi ya huyu mwenye tuhuma? Mnaweza kumpendekeza?

3. Wana CCM mbona mnapendelea sana kukosoa uongozi wa CHADEMA na kutaka mabadiliko ya haraka wakati kwenye uongizi wenu wa CCM mmejaza mafisadi? Viongozi dhaifu? Watorosha twiga, na wahujumu wa maendeleo ya mwananchi? Mbona mnaangalia kidonda cha mwenzenu wakati chenu kina usaha?


NIMEJIRIDHISHA KUWA DR SLAA NI MSUMALI WA MOTO KWA CCM.
Sikukuu njema.
 
si kila mgonjwa lazima aende hospital.CCM tayari inaugua ila hispitla inaogopa kwenda hofu ya kupewa dawa na kuambiwa kamezee nyumbani.,anaishi kwa matumaini
 
vichwa vya nazi utawajua tu, watoto hawalalamiki ww mmbeya povu linakutoka, eti kadi mbili... katiba yenu magamba inasemaje juu ya uanachama?? huna unachokijua zaidi ya majungu dume zima hata aibu huna!!!!
kweli vijana wa magamba hamnazo..

kweli mumeo hajakufunza.mistari mitatu matusi mia? Vp kuhusu mradi wa maji karatu,kiwanja mabwepande,kuigawa bavicha na kutaka kumuua zitto
 
Back
Top Bottom