We need to be serious jamani,
upumbafu wa namna umefanya nccr, cuf leo kuwa historia.
There is something fishing going on kwa hawa vijana wa cdm,
bavicha imeshavamiwa na ela za mafisadi awa wa ccm,
watu wa mwanza na mwenyekiti wenu wa bavicha hamko salama, ela ya mafisad wa ccm imemwagwa apo na imeshaliwa.
Ishu ya kadi ya dr ni propaganda za ccm na kila mtu anajua ata ccm wanajua, lakini nimeshtushwa na kaul ilojaa ushabiki na yenye utov wa nidhamu wa hali ya juu dhid ya dr.
Huyu mwenyekiti wa bavicha mwanza si sampuli ya viongoz wa chadema, ril lzm awajibike /shwe.
We are commited kwa chadema pia dr. Slaa