Dr. Slaa atazishinda propaganda dhidi yake!

Wata hangaika sana wakina TUNTEMEKE +BAVICHA lakini Dr slaa ata simama kama kawaida na wahakikishia!

Na kama kuandamana waanze kuandamana!
 
Last edited by a moderator:
Dr slaa ana akili sana hadi leo analipia ada kadi ya CCM! Hakika ni mtu wa ajabu na wakipekee hapa Tanzania,ukianza kufuatilia vituko vyake utachoka yani Padri alie asi,ana wake wawili kwa mpigo Rose Kamili na Josephin Mshumbusi !
 
Unajua ccm wanamuona Nape kama jembe lao hawajui kuwa Nape ni pandikizi la Chadema ndani ya ccm, ndio maana hafanyi kazi ya kueneza sera ya chama badala yake ni kueneza umbea na majungu.

View attachment 75064

Kwani Unadhani Dr PHD Slaa anapataje information za ki intelegencia? Nape Jembe la CDM linailima ccm Kimya Kimya
 
Sina uhakika kama unamsaidia babu
 
dk slaa ni jembe acha waseme mwisho watalala. slaaa ndiye mkombozi wetu ufisadi wote ameuweka hadharani hongera dk slaa
 
hiyo hoja ya kwanza nilipata email yake na sijajua huyu mtu alikuwa serious kiasi gani! Ila nilitrack ip addr yake na nikutoka dom! Wakati huohuo kwenye ac ya twita rafiki yangu alipokea twt ya mtu mwenye id ya balali akimuelezea mipango yake ya kutaka kurudi tz na kuna story inayokaribia kureflect iyo point ya 1 lakini pamoja na hayo tumeshtukia game lao! Waue sisiem chama chao na mafisadi wao!
 
Dr slaa ana akili sana hadi leo analipia ada kadi ya CCM! Hakika ni mtu wa ajabu na wakipekee hapa Tanzania,ukianza kufuatilia vituko vyake utachoka yani Padri alie asi,ana wake wawili kwa mpigo Rose Kamili na Josephin Mshumbusi !
3) uanachama wa mwanachama wa CCM utakwisha kwa: (f)kujiunga na chama kingine chochote cha siasa. - Katiba ya CCM
 
Kuna ule msemo usemao "msifuate matendo yangu fuateni maneno yangu" hapa kweli Dr Slaa ametumia elimu yake ya u-Padre kuongopea watu.
 
Mimi namwona Dr Slaa ni kiongozi mkweli sana. Kwani angekuwa mwongo kama magamba angekanusha tu kuwa hana kadi hiyo ya CCM. Si mtu mwenye tamaa ya mali, ni mkali sana kwa wazembe na wala rushwa na mtu ambaye yupo karibu na Dr atakuthibitishia hili. Nina imani 2015 nchi itapata Nyerere mpya. As a country under Dr Slaa we will rise again, we will lead again!
 
...............na uadilifu huu ni kikwazo kwa ulaji waliotegemea vijana ndani ya BAVICHA. Muulize TUNTEMENKE ndoto za ku-make ndani ya CDM zimeyeyuka kabisa
 
Hizi story bana basi tu,, hivi jamaa hana mtoto mkubwa ambaye yumo humu JF!?
 
Wewe unafikiri watu hawalali juu yake kwa sababu gani, mara sijui padri mara sijui ana kadi, mara sijui nini, kitaeleweka tu.
 
Angekuwa sio mroho wa pesa na msaliti kwa Mungu kama unavyomtetea,nijibu swali moja tu,Kwanini aliiba michango ya pesa za ujio wa Papa Paul ndo maana akakimbia kanisani??
 
Wewe unafikiri watu hawalali juu yake kwa sababu gani, mara sijui padri mara sijui ana kadi, mara sijui nini, kitaeleweka tu.

Na bado hawa CCM wanajiaibisha sana kwa kudai kadi yao kutoka kwa Dr.mbona wapo wanacha waliokikimbia ccm na wanakadi,je mbona hao hawawadai?KAMA WANAMUHIJI DR.MWANASIASA WA KARNE YA 21 WAPANDE DAU BASI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…