Kweli ajitambulishe kila kona ya Tanzania, pote anasubiliwa kwa hamu sana, Nimependa utangulizi wa hotuba yake Karatu,'NIPENI NCHI NIONDOE UFISADI' kwa kuongezea, wakumbushe, PM Pinda alsema mafisadi wakiguswa nchi itayumba, Tukupatie slaa uwangoe na uchumi wa Tanzania upae! BRAVO CHADEMA kwa uteuzi wa mgombea makini!