Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Wee Shalomo wee, haitoshi unatoka Mbeya na bado wataka kuwa mmbeya wa m-Mbeya? Hahahaa mtani wangu weee.........
Tukiweka utani pembeni, Kwa kweli umegusa penyewe. Ila usiseme Wasukuma. Wasukuma wako juu sana (Mwanza & Shinyanga).
Wenye matatizo zaidi ni sisi Wadakama (wa Kaskazini) au Wanyamwezi.
Nilishaandika zamani na narudia tena:
Dr. Slaa, ukifkka Magogoni, ukikumbuke ki-Sikonge.
"...Sikonge imejichokea na kukondeana kama kijibwa cha Darfur......................"
CHAKAZA: Haijalishi nani alianza. Cha muhimu ni kumfikisha Slaa Ikulu ili atutumikie. Vita imeanza......

Sijui hawa wasukuma watakombolewa this time!