Dr.Slaa: Atakayekiuka UKAWA tutamshughulikia

Kwenye msafara wa mamba hata kenge huwa wanajichomeka...
 
Akili fupi kwa kujieleza mf: CHADEMA inamnyima Letisia demokrasia, huyu ni mbunge mmoja anaongelewa na wale waliopumbazika kifikra. Je! Wale wote ambao wapo ccm na democrasia ikaminywa wakalazimishwa kupiga kura ya wazi, kwanini nyie mnaojiita wanademokrasia sikuzisikia sauti zenu mkiwatetea wale wabunge wa ccm waliopokwa demokrasia na wachach??? Hakika upumbavu na ujinga wetu ndio mtaji wa ccm, wapumbavu wakiisha na ccm kwisha. Ndio maana wanajitahidi kushusha viwango vya elimu ili kujiongezea mtaji. We unafikiri divishen V ni kwa manufaa ya nani??? Mwaka kesho utasikia Vl.
 
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha
Watakuwa wawili. Shibuda na Leticia Mageni.
 
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha

Ukawa wa bara hawana umuhimu wowote hata wangerudi wote kwani hawawezi kubadilisha2/3 ambayo tayari CCM wanayo bara. Kichwa kinauma CCM kwa Wazanzibar ambao ni kete muhimu sana na Wazanzibar siku zote ni watu wenye msimamo thabiti, kwa hiyo hapo CCM wana wakati mugumu.
 
kweli kabisa. wako wengi sana wanachukizwa na ujinga wa ukawa lakini wafanyeje sasa wataitwa wasaliti

Ni kweli na ndio maana kuna usemi kuwa usiusemee moyo, na ni kwa jinsi hiyohiyo kuna wa CCM ambao wanatamani wasishiriki dhambi ya uchakachuaji ila wanaogopa kuvamiwa na majambazi na kuuawa au kunyongewa tai chooni
 
Mwambie slaa kitanda alichokitandika lazima atakitandua mwaka huu mwambie pia aje dodma atamkuta arfi,leticia na shibuda.

na wananchi pia wamewachoka na vituko vyao
hiyo ni picha tu ya kawaida kama wameshindwa kuwashawishi viongozi wenzao je wananchi???
 
Ahmad Rashid na zzk,hao ni wabunge wa mahakama hawapo Ukawa,aliyepo Ukawa ni Leticia Nyerere ambaye tayari mh Halima Mdee alishamuonya juu ya undumila kuwili wake kwa ccm,na Shibuda ni Mbunge wa ccm kupitia chadema

Ilikuaje hii ya halima Mdee kwa Leticia mkuu?
 
chadema inaendekeza utawala wa kibabe na kimabavu, chadema ni chama cha kidikteta,, leticia ni haki yake kikatiba kwenda bungeni,, babu slaa atuonyeshe katiba ya ukawa inayokataza wasiende bungen

Sijui una ubongo au matope kchwani duuuu
 
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha

boban wamerejea wa kutosha kama hujajua. hadi ivisasa wamerejea 19 wachadema 8 Cuf 11
 
dr slaa hili fundisho kwa chadema kuwa umakini wa kuhifadhi vijana waliokulia kwenye chama ni muhimu kuliko watu waliokuwa upande fulani
hawa watu wanakuja kwa malengo tofauti tofauti
 
dr slaa hili fundisho kwa chadema kuwa umakini wa kuhifadhi vijana waliokulia kwenye chama ni muhimu kuliko watu waliokuwa upande fulani
hawa watu wanakuja kwa malengo tofauti tofauti

SLAA mwenyewe katokea CCM hajakulia CHADEMA.Kesi ya ngedere unampelekea nyani
 
Back
Top Bottom