Dr.Slaa: Atakayekiuka UKAWA tutamshughulikia

Mh Mdee alimchana live bungeni huyo Leticia kwa kujipendekeza kwa magamba,na ilikuwa bungeni.

Walikuwa na mugomvi yao binafsi ya mambo ya kike taabu Mdee akaamua ku-steam out mahasira yake bungeni.Si unajua watoto wa kike wakiwa na bifu waweza lipukiana popote hata harusini
 
Hawana jipya hao kwani kila mmoja anafahamika kuwa kakalia kuti kavu ktk chama chake! Hao wote akiwemo huyu leticia watauskia ubunge redioni tu kwani wananchi walishawachoka kwa undumila kuwili wao
 
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha

mtawafanya nini msije mkawakea sumu au kuwamwagia tindikali kisheria hawajakiuka sheria au kanuni za chama.
amri za ukawa si kukengeuka kanuni kwani ukawa si umoja ambao upo kisheria
 
haha chadema kila mwenye mawazo huru ni msaliti litcia ajaona sababu ya kukaa nje ya bunge.......Mbona ccm kuna watu wanataka serekali 3 na akuna anae deal nao..acheni udikteta ukawa..
hata tundu lissu anataka kurudi bungeni
 
Leticia Nyerere si mara moja tu kwani amekuwa akienda kinyume na taratibu za CHAMA,kwa mfano mara nyingi anakazi ya kuishngilia na kuipogeza serikali hata inapotokea kuna madhambi yanayotendwa na serikali yeye kwake ni kuunga mkono,nashauri chama kimshikishe adabu
 
Muundo wa serikal, nikama msing wa nyumba ukikosea msingi nyumba yote itakuwa hatarini.
Hivyo anae sema ati serikal 3 hazitoi maji anasahau kuwa bila muundo imara wa serikali hayo maji hatukuja kuyaona kamwe.
CCM acheni kupotosha watanzania ati mtajenga nyumba isiyokuwa na MSINGI mnajidanganya.
 
CCM waendelee kujitoa fahamu kwa kuendelea kujitungia katiba yao...wakidhani sisi wananchi tutaikubali.tunawaunga mkono UKAWA mwanzo mwisho hadi kieleweke.
 
Kwanini mlazimishe watu kufanya kile wasichopenda? Najua wapo wengi huko Ukawa wanapenda kuwa ndani ila ndio wanaogopa watatoswa tena
 
Back
Top Bottom