Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,696
- 32,273
Nlikuwepo miaka ile siasa imeanza na sera za uzawa za Mch Mtikila. watu walimsikiliza wakavutiwa naye mamia kwa mamia na kulisukuma gar lake wakitaka aelekee ikulu. that time Rais Mwinyi alikuwa ameshaikimbia Ikulu. Mtikila wakat huo kwa busara alikataa kwenda magogoni kwa kuwa hakuwa ameshajiaandaa na hakutaka kwenda ikulu kwa njia ile. nakumbuka magabachori walivyokimbia nchi kutokana na sera za mtikila.
nikamkumbuka Mrema wakati wa uhai wake aliposikilizwa na watu wakamkubal kufikia hatua ya kusukuma gari lake n.k leo hatunaye tena amebaki akiweweseka akili yake ishazimia kama si kufa.
Dr slaa ana hoja ana ujasiri lakin hana uwezo wa kuwa Rais
1. bado watu weng hawajamkubal kwenye kipengele cha urais hana mvuto huo.
2. ana hasira na wakat mwingne anatoa matamko ya jazba urais unataka mtu mtulivu asiyekimbilia kutoa tamko
3. chuki pia ni tatizo kwa Dr Slaa hili tunaliona anapokuwa anamchukia mtu meng anayafanya kuonesha chuki yake.
Chadema tunapenda iongeze Wabunge weng sana mwaka 2015 kwa kuweka wabunge makini. na wale waliopwaya kipind hiki waachwe au wapewe kaz nyingne. wabunge weng wataleta changamoto zaid bungen na hii itasababisha wabunge wa CCM wasilale. ila kwa upande wa urais hili ntalisema bila kificho CDM bado haijawa na mtu wa kugombea urais. Dr slaa abaki kuwa mtu wa Chama na mikakati mbalmbal ambayo atashirikiana na watu wengne ndan ya chama.
ila yeye kama yeye hafai na hatoweza kuwa rais wa Tanzania.