Dr Slaa asigombee urais mwaka 2015. Hawez shinda

Dr Slaa asigombee urais mwaka 2015. Hawez shinda

atagombea mama ako

babu mapunda mimi nmeongea kwa kutoa hoja...mi nina wasws kama wewe ni CDM kwel maana sidhan cdm inaweza kuwa na watu wa aina yako. nyie ndo mnaokikosesha chama heshima.watu wa hovyo hovyo kabisa
 
Dr wa biblia akipata Urais yesu karudi na Tanzania itakua sio nchi tena labda jahanamu ndo anaweza akapata uongozi manake huko ndo kutakuwa makazi yake
 
Dr. Slaa kama maji usipoyanywa utayaoga.
mtahangaika sana kuwarubuni wananchi lakini mwisho wa siku mnajifunga wenyewe.!!

Lazima wafe kwa kijiba, Dr wa ukweli ndo chaguo letu
 
Umesema ya kweli Bro,Slaa hatoingia ikulu kama rais wa nchi hiii kamwe,pigeni kelele mwenznu umri unakwenda na mwisho ataishia itwa jembe paspo mpini..........waje wengne sio Slaa Babu
 
Mkuu,

Ujumbe wako mzuri sana na ni imani yangu ushauri wako ungelifanyiwa kazi endapo tu ungeleta huu ushauri kwa IDENTITY inayo eleweka kidogo (User name).

Mbona hata hiyo inaeleweka tuu?!
Ni bahati nzuri yeye amejitambua na hivyo mawazo yake hayatusumbui sana!
Wengine mmeshindwa kujitambua ila mnatambulika!
 
Asante sana kwa utafiti mzuri!
Kwanza DR. SLAA amekwambia anataka kugombea urais?
Pili, huo utafiti wako ulichukua sample size ya kiasi gani, ya kina nani?, lini, na wapi?
Mbona hujatwambia nani agombee ambaye utafiti wako umeonesha anakubalika na hana hasira kwa mafisadi?!
Agombee kupitia CHAMA gani?
Kwa sababu hujaweka majibu hayo, wewe ni kati ya wale tuliowazoea ambao njaa huwaongoza kusema NDIYOOOOOOO!
 
Ndio sifa za chama gani hizo au za raisi wa nchi gani huyo. Tunahitaji mtu asiye ma mvuto tunahitaji mtu wa kubadili masiah ya watz.

Mleta mada anamtaka Rais mrembo!
Aende kwa Remtullah wapo kibao......
Hata Bob Junior ni "Rasi wa Wasafi"....!
Lakini MAGOGONI ni Rais aliyekunja sura dhidi ya wezi na wadhulumaji....
DR. Slaa na CHADEMA ndo sahihi kwa sasa.
 
Mleta mada anamtaka Rais mrembo!
Aende kwa Remtullah wapo kibao......
Hata Bob Junior ni "Rasi wa Wasafi"....!
Lakini MAGOGONI ni Rais aliyekunja sura dhidi ya wezi na wadhulumaji....
DR. Slaa na CHADEMA ndo sahihi kwa sasa.

kyam Tundu nadhan unapoambiwa mvuto akil yako inakutuma kwenye sura...la hasha dada....hapa nazungumzia urais kama taasis na kukubalika kuwa rais. ngoja nikwambie. sina tatizo na dr slaa kama yeye binafs wala cdm.ila nakwambia tuombe uzima. slaa akiwa rais mi naenda kuchukua uraia wa DRC au SYRIA Tafuten mtu mwingne CDM ama sivyo mnambie hakuna
 
Kweli wewe mana toto....nimeamini. unaangalia phd? thats so bad. maana kama ni hivyo tungemchagua Prof Lipumba kabisa. Huwez mlinganisha Dr Slaa na Mch Mtikila kwenye siasa za Tanzania. wewe bado hjaifaham siasa ya Tanzania. Mtikila ni Gwiji wa siasa ambaye huwez kumweka meza moja na Dr, Prof Lipumba na mwingne yeyote. mi nakweleza kitu nachofaham. siwek ushabik na akili yangu haijawa polluted na itikadi za vyama. bado uwezo wangu wa kufikiri ni mzur kabisa tofaut na wewe unawaza kwa kutanguliza itikadi kwanza

Wewe ni "CHIZI MAARIFA" WA UKWELI!! Eti unasema Mtikila ni Gwisi wa Siasa za Tanzania kuliko DR W.P SLAA? Please tell us, katika masafa gani hasa?......Hebu weka COMPARATIVE ANALYSIS ya DR W.P.SLAA vs REV. CHRISTOPHER MTIKILA ili mimi binafsi ni - justify hoja yako na ugwiji wa Rev. Mtikila katika siasa za Tanzania against Dr. Slaa.

Nikuambie kitu? Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa BUT kwa namna mambo yanavyokwenda sasa katika nchi yetu na kwa sababu sasa maisha yetu yanaendeshwa na siasa na wanasiasa; then it is the right time kwa kila mtu kuchagua mwana/wanasiasa wanaoweza kufanya kitu ktk nchi hii, kuirejesha nchi ktk mstari.Nimetokea kuvutiwa sana na Dr Slaa among the prominent politicians (kwangu mimi ni Gwiji - prominent in all ranges) na CHADEMA yake kwa sababu ndiyo tumaini la watanzania whether you like or not!!
 
Nafikiri waislamu hawana degree za dini na kama wanazo zote ni za kijinga kama hiyo ya kanisa.....ungesoma vizuri nilichoandika au ungeomba mtu karibu yako akusaidie kuelewa kama kuna shida ya kuelewa sentesi zaidi ya 2,3 na kama umesoma na kuelewa na kudiriki kunijibu ulivyojibu basi huna haja ya kunijibu tena kwa sababu inaonyesha una kiwango kidogo cha akili/kufikiri na hilo halitokua kosa lako kuna watu wengi hapa kama wewe

utaelewekaje wakati umeandika mashudu?
 
Nafikiri waislamu hawana degree za dini na kama wanazo zote ni za kijinga kama hiyo ya kanisa.....ungesoma vizuri nilichoandika au ungeomba mtu karibu yako akusaidie kuelewa kama kuna shida ya kuelewa sentesi zaidi ya 2,3 na kama umesoma na kuelewa na kudiriki kunijibu ulivyojibu basi huna haja ya kunijibu tena kwa sababu inaonyesha una kiwango kidogo cha akili/kufikiri na hilo halitokua kosa lako kuna watu wengi hapa kama wewe
Kiwango chako cha kufikiria nikikubwa sana ndio maana kutwa unavizia buku saba za Lumumba
 
Kiwango chako cha kufikiria nikikubwa sana ndio maana kutwa unavizia buku saba za Lumumba

nimeamini kwamba ujinga unaweza kua genetic au kurithishwa sasa kama wewe una mtoto unategemea atakua na akili gani kama wewe mama uko hivi
 
Dr kachoka kifikra na naamini anajua kuwa hatokuja kuwa raisi hata kwa mtutu wa bunduki. Kinachomfanya aendelee kushikilia ndoto ya uraisi ni nafasi aliyonayo ndani ya chama inayompa ulaji mkubwa na ushabiki anaoshabikiwa na vijana wake wachache.
 
Yaani mtu ambaye si tishio anaongoza kwa Kujadiliwa
 
Objectively; PhD ya huyu mwanasiasa ni ya fani gani????
Taarifa please
 
Mimi nimemsikiliza sana Slaa na naona ana maono mazuri kuhusu nchi hii kama Mrema na Mtikila tumpe kura muone maisha bora yatakavyokuja kwa kasi
 
Dr slaa alianza kupata maadui baada ya kusema akiingia madalakani wote mafisadi watafilisiwa mali zao na shaka na wewe ni walewale maana hoja zote ulizojenga ni za kizushi.
 
kyam Tundu nadhan unapoambiwa mvuto akil yako inakutuma kwenye sura...la hasha dada....hapa nazungumzia urais kama taasis na kukubalika kuwa rais. ngoja nikwambie. sina tatizo na dr slaa kama yeye binafs wala cdm.ila nakwambia tuombe uzima. slaa akiwa rais mi naenda kuchukua uraia wa DRC au SYRIA Tafuten mtu mwingne CDM ama sivyo mnambie hakuna

Ndo maana nikasema wewe unaakisi jina lako 100%
Utazungumziaje Urais kama TAASISI ila ukam-FOCUS Dr. Slaa ambaye ni individual???
Au una fasili nyingine ya neno taasisi?
Halafu unasema huna tatizo na Dr. Slaa yeye binafsi-Hili linakuwaje wakati kichwa cha habari kimemgusa yeye tena kwa jina??!
Huoni umelegea katika kupanga hoja?
 
Tatizo kubwa la Slaa ni UNAFIKI...

Mnafiki ni nani?
1. Je ni yule alisema anayo list ya wauza madawa ya kulevya mpaka leo hajawashghulia?
2. Ni yule aliyewaahidi watanzania maisha bora mpaka leo watanzania wanataabika?
3. Ni yule aliyeombwa na wadau mbalimbali aunde corona court kuchunguza vifo vilivyosabibishwa na dola lkn ameuchuna?
4. Ni yule aliyesema wasichana kupata mimba ni kiherehe chao?
5. Ni yule aliyeiambia ulimwengu kuwa hajui chanzo cha umaskini wa watanzania?
6. Ni yule alishindwa kuwatembelea watu waliouwawa au kujeruhiwa na bomu arusha uliotokea kwenye mkutano wa chadema?
7. ni yule aliyempandisha cheo aliyekuwa kamanda wa Polisi Iringa baada ya kufanikisha mauaji ya mwangosi?
8. Ni yule aliyemshughulikia Amatus Lyumba baada ya kuingiliana yale maeneo fulani........?
9. Ni yule aliyemfunga Babu seya baada ya kutofautiana maeneo fulani.........?
10. Ni yule aliyeogopa Mdahalo akajiandalia mahojiano binafsi yenye majibu ya kudesa?
 
Back
Top Bottom