ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Mnafiki ni nani?
1. Je ni yule alisema anayo list ya wauza madawa ya kulevya mpaka leo hajawashghulia?
2. Ni yule aliyewaahidi watanzania maisha bora mpaka leo watanzania wanataabika?
3. Ni yule aliyeombwa na wadau mbalimbali aunde corona court kuchunguza vifo vilivyosabibishwa na dola lkn ameuchuna?
4. Ni yule aliyesema wasichana kupata mimba ni kiherehe chao?
5. Ni yule aliyeiambia ulimwengu kuwa hajui chanzo cha umaskini wa watanzania?
6. Ni yule alishindwa kuwatembelea watu waliouwawa au kujeruhiwa na bomu arusha uliotokea kwenye mkutano wa chadema?
7. ni yule aliyempandisha cheo aliyekuwa kamanda wa Polisi Iringa baada ya kufanikisha mauaji ya mwangosi?
8. Ni yule aliyemshughulikia Amatus Lyumba baada ya kuingiliana yale maeneo fulani........?
9. Ni yule aliyemfunga Babu seya baada ya kutofautiana maeneo fulani.........?
10. Ni yule aliyeogopa Mdahalo akajiandalia mahojiano binafsi yenye majibu ya kudesa?
Ni yule aliyewaambia watu waandamane Nyololo halafu yeye akajifungia hotelini ili abaki salama.
Ni yule aliyesema hamtambui Rais halafu akaenda Ikulu kunywa juice
Ni yule aliyesema atawataja walioiba kura za uchaguzi mkuu halafu akaingia mitini
Ni yule aliyewalaghai watu wafanye kazi ya kujitolea halafu yeye akasema hajitolei mpaka ahakikishiwe mshahara mnono
Ni yule aliyetoa ahadi kwa Mungu amazivunja
Ni yule aliyeaminiwa halafu gizani akafanya kinyume na anayohubiri kwenye mwanga
Ni yule anayemlipa hawara wake pesa nyingi za chama kwa kisingizio cha kujitolea
Ni yule anayechangisha walalahoi pesa halafu "anajikopesha" kwa matumizi yake ya anasa