Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga


kamanda umemsahau "AFANDE SELE NA SUGU" pia kwa magamba huwa wanaonesha manjonjo
 
Yaan hiki kiwanda sijui kama jk ame kiweka kwenye list.

Sijui ulitaka waimbe taarabu badala ya kutoa hotuba?
 
kama huna cha kuandika si ukae kimya hivi kwa hali ya Tanzania sasa hivi tunahitaji manjonjo kweli?
 
Kwani kuleta manjonjo uwanjani ndio kushinda? R.ip mashetani ya nyinyiemu na wafuasi wako woote
 
porojo za uamsho.
huyo jamaa rtz leo sijamuona kabisa kuna thread ya kamanda wetu kuchomwa mkuki shinyanga na watu wake wa lumumba na wale majambazi ya nyinyiemu hapo shinyanga, yeye na zomba, na vijana woote wa nyinyiemu wanaichungulia hiyo thread kwa mbali, na wanachanganyikiwa watu wanavyotoa madata ya kutisha juu ya hayo majambazi ya sisiemu hapo shinyanga kuwa ndio wanahusika, akiwemo mtoto wa meya na huyo jambazi muuaji wao ndio katibu mwenezi wa mkoa.... Hawa jamaa wanapenda sana mauaji... Mungu awalipe kwa kuwakata ****** woote manaopenda mauji ya nyinyiemu
 
kwa mategemeo ya kupata khanga, vitenge, leso, kofia, na mengine ya tumbo, namaaanisha pilau na magari ya bure kuwazungusha huku na huku nadhani ni kweli yalikua ni manjonjo ya wanamanjonjo lakini kwa wanachadema wanajua siasa shirikishi, ikiwa na maana kuchangia katika yote, hali na mali, sishangai kusikia hivo
 


Mkuu acha kupotoshwa na propaganda za ccm zisizo na mashiko na wala haziwezi badilisha ukweli...Siku 2 za mikutano ya SLAA pale kata ya Mwawaza-Shinyanga na siku 2 npale kata ya Bugarama -Kahama,Shinyanga zimeacha gumzo mpaka sasa...nisiseme sana but from the bottom of my heart...hizi kata zote zinakwenda cdm...bila kusahau Lwenzera-Geita ambako Slaa alipiga kambi siku 2 pia....Tukutane hapa jamvini Jumapili(28.10.2012)
 
Well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…