Pendael laizer
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 958
- 105
Chukuwa like yangu mkuuCHADEMA SIO CHAMA CHA WANENGUAJI HATA UTARAJIE KUONA MANJONJO YAO, CHADEMA KINAMWAGA SERA TU.
Kama unataka kuona manjonjo nenda kwenye mikutano yenu magamba utawakuta ZE COMEDY, WANAUMEFAMILY, TAARABU(T.O.T) na wasanii wengine kibao wakionesha manjonjo kwa lengo la kuwasahaulisha watanzania matatizo yao ya ugumu na kupanda kwa gharama za maisha yanayoendelea kuwakabili kwa miaka 50 sasa.
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.
Hebu weka wazi, ni kiwango kipi hasa mlichotarajia?Wapuuzi wengi hupenda kusifiwa haya kwa wadiostahili,wapuuz huchukia ukweli. Call a spade a spade and not a big spoon. Acheni ujuha, km kiongoz wetu hakuleta hamasa ktk kiwango kilichotarajiwa bac tutafte njia ya kutatua tatzo na sio kutaka kusifiwa mda wote km serikali ya sisiem
- Pilau
- hadija Kopa
- John komba
- Fulana
- Khanga
Hakuna wali wala bendi, hapa ni kazi tu.Watu wamechoka na porojo.
Kimepoteza mvuto!
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.
Kwani manjonjo kitandani ndo yanasababisha mimba?
mi pia kaniascha hoi jamani dah!Yaan mkuu umenichekesha,acha 2