Dr. Slaa asahaulika CHADEMA

Dr. Slaa asahaulika CHADEMA

Dr Slaa alitakiwa kujua kwamba watanzania wanataka mabadiliko. Pili watanzania wanaipenda Tanzania yao kuliko wanavyompenda yeye. Tatu katika team work huwa mnatofautiana mawazo lakini kazi inaendeelea siyo kuzira.

Nne alitakiwa awe na moyo wa kusamehe. Yeye ni kasisi. Katika mapokeo ya kanisa hakuna misa ya kumvua mtu ukasisi. EL ameteseka miaka nane juu ya Richmond. Tumsamehe. Hakuna mkamilifu. Slaa akiwa bado kwenye upadri alikuwa na mwanamke ndo huyo mwanamke wake kabla ya Josephine. Alikuwa amempangia nyumba. Baada ya kuona upadri basi hapo aliomba kutoka kwenye utumishi. Lakini kilichoanza ni kuwa na mwanamke kinyume na taratibu za upadri. Hivyo hakuna mkamilifu.

Watanzania tunataka tuue tembo (ccm), mengine baadae.

Tuipige CCM chini.

Miezi mitatu iliyopita... story ilikuwa tofauti
 
Kwi kwi munaatamani asahaulike haiwezekani hilo ndio li baba la siasa za mageuzi mfumo alioujenga ndio chadema uionayo kwa sasa unataka aanikwe kwenye matangazo au unatakaje Dr yupo with all his blessings ndio chadema ya sasa

Mfumo gani
 
Mtoa mada atakuwa na ugonjwa wa kusahau bila shaka, kwani Dr.Slaa kafukuzwa na nani? amekaa pembeni mwenyewe na akirudi hata leo ataendelea na nafasi yake,au umesikia kuna katibu mkuu mwingine kachaguliwa? Shida nyie watu wa CCM mnadhani mnaweza kutuendesha mtakavyo, kama lini fisi akamwonea huruma sungura? HATUDANGANYIKI !!!!!!!

Mkuu achana nao hao magamba ,machozi ya CCM kuwalilia au kuwatetea Chadema nnayafananisha na machozi ya 'Mamba'..
 
Dr slaa and lipumba wakae pembeni..tunataka kuondoa kwanza ccm madarakan then hayo mengine yatafuata....ata aje kikwete tutampokea...
 
Jamani nasikia Dr Slaa amerudi ccm rasmi ni kweli wana Jf?
 
Apumzike kwa amani, mi nilijua tuna mtu makini anayejua kucheza na siasa kumbe kazi yake ilikuwa kupewa umbea na kusema tu.
Mnafiki tu huyo anazuia mabadiliko kisa ubinafsi wake
 
Jamani nasikia Dr Slaa amerudi ccm rasmi ni kweli wana Jf?

Acha kuisemea mioyo ya watu, mwenyewe kasema ukifika wakati wa kuongea ataongea. full stop. mengine haya mnajitungia wenyewe
 
Yaani na hili pia wamelifanya, hawa ni watu hatari sana!

Hii dhambi inawagharimu mpk dk hii... Mkapa was the mastermind of Mwalimu's death... Hahaha we know we know..we know... Ipo siku mwili wa Mwalimu utafukuliwa na uchunguzi kuanza mara1.
 
Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc.

Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.

Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.

Mbona hata nyie mmeanza kumsahau EDO japo hamlali ama kweli hii ni dunia ya WATU wote
 
Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc.

Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.

Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.

Tunampenda Dkt wetu, wewe inakuuma nini? Kwani umeambiwa alifukuzwa! Yuko katika mapumziko hadi atakapoona vyema nafsini mwake. Yeye ni binadamu kuna mambo anayoamini na watanzania pia wana matamanio yao.

Dkt tunampenda tunamjali, Lakn Nchi kwanza, then CDM watu baadaye. Huu sio mda wa kususa kabisa.

Come back Dkt we love you
 
Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc.

Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.

Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.

Mbona mnahangaika na Dr. Slaa leo, yupo likizo.
 
yaani leo siku ya pili thread ya dr slaa ndo kwanza iko page ya tano! huyu huyu dr aliyekuwa maarufu humu ndani, thread zake zinakwenda hadi page 70 na ushee leo ndani ya siku moja, BAVICHA walikuwa busy kumtetea, leo vijana wake wamembadilikia wako busy na ndoo zao za maji, omo na madodoki wakipita huku na huku kumsafisha fisadi! ama kweli fedha fedheha, hata yesu alikanwa kisa vipande vya fedha! dr slaa ndo walimwengu hao mzee wangu
 
Kwa hiyo mlitaka CHADEMA isisonge mbele kwa kuwa katibu Mkuu wake yuko mapumzikoni ili mseme haina watu zaidi ya Dr? Au mnataka kulinganisha CHADeMA na ACT ya Ayatola?

Mmechemka. Dr. yuko likizo kwa utaratibu maalumu hata yeye anajua shughuli zinasonga mbele.

Kama mlitaka kumfitinisha na CHADEMA kwamba Lowasa atahamishia ccm CHaDEMA na kuua misingi ya UKAWA, imekula kwenu.

Lowasa ameshasema yeye atasimamia sera za UKaWA ikiwemo Rasimu ya Katiba Ya Warioba.

Wachonganishi wote aibu kwenu!.

Tungeni hoja zingine lakin muwe makin kwa sababu hakuna mtu atabadilisha misingi ya UKaWa wala CHADEMA. Kila anayekuja ankuja kuongeza nguvu ya mabadiliko.

Tafuteni wimbo mwingine muanze upya!.

Dr. Slaa ni Katibu Mkuu wa CHADEMA!.
 
We unacheza za fisadi papa
Kaisha nunua chama chake , sasa hivi ni mwendo wa gharika sio mafuriko tena, wote ni mzobe mzobe subiri gharika likitua kila kitu ni vipande vipande hakuna Ukawa wala Kahawa na kashata

Na wewe tafuta pesa ununue chama mbona vipo vyama vingi tu, kanunue Ccm chama kubwa , na kama hutakula mtaji mnunue na mtoto ACT
 
Back
Top Bottom