Slaa katumiwa na cdm,na tumia neno zuri kama gloves za tabibu, sasa katupwa kule hana maana tena.
Hiki ndicho kitakacho wapata wanamafuriko. Octoba walio wa weka madarakani watakuwa wanahangaika kulipa madeni ya hela walizokopa kuzitumia kwenye kugharamia mafuriko.
Hajatupwa kule ila ni upeo wako ndio ulipoishia, kajitoa yeye mwenyewe, kajificha yeye mwenyewe, sasa nyinyi wafia mtu mnataka kushawishi wenye akili kuwa mtu ni zaidi ya taasisi. Tuambieni nini kimekwama katika harakati za kisiasa za CDM?