Dr. Ngwazi
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 723
- 289
We unajua nini,poor u pretending to knew it all
Ungeandika kiswahili ingelikua bora zaidi
We unajua nini,poor u pretending to knew it all
Mbona huyo adui ndio mgombea wenu wa chadema! Watu wanabadili rangi za mashati tu wanakuja kutwaa nafasi muhimu za chadema.
CCM mmemsaliti Nyerere angali hai japo alikijenga na kukiasisi CCM!!!
CCM mmeuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa mbele ya macho ya mwalimu aliyewapika mkawa viongozi!!!!
CCM mmesaliti wananchi kwa kugeuka wevi na wanyang'anyi wakubwa!!!!
Hilo dole gumba lako lililojaa sugu kwa jembe la mkono linakutazama unavyoshupaza shingo kwa wenzio wakati kwako kunaungua!!!
hujaelewa kitu .mnaongea tu,dk alikuja cdm 1995 akitokea ccm,waasisi bado wapo hai,tunamhitaji dk km mtu mwngin yyt kujenga chama but we wont wait him kusonga mbeleeee.
CDM ni chama cha umma siyo cha Slaa wala Mbowe, tunasonga mbele hata kama hawa watahama kesho cdm inadumu daima
Wana izaya wanafiki wakubwa waliwahi kuimuta majina kibao mara dr slaa rais wa mioyoni mwao,mara baba yao wa kambo etc...sasa wote wamenunuliwa na Fisadi papa nyangumi
Sio kusaliti tu ccm walimuua nyerere
Kauli mbiu ya CHADEMA
BIASHARA KWANZA
wanachadema hawawezi kumchoka Dr Slaa, huyo ndiye Chadema.
Ni kweli Mkuu aende tu cdm ni taasisi sio mtu
CCM mmemsaliti Nyerere angali hai japo alikijenga na kukiasisi CCM!!!
CCM mmeuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa mbele ya macho ya mwalimu aliyewapika mkawa viongozi!!!!
CCM mmesaliti wananchi kwa kugeuka wevi na wanyang'anyi wakubwa!!!!
Hilo dole gumba lako lililojaa sugu kwa jembe la mkono linakutazama unavyoshupaza shingo kwa wenzio wakati kwako kunaungua!!!
Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc.
Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.
Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.