Dr. Slaa asahaulika CHADEMA

Dr. Slaa asahaulika CHADEMA

Dr slaa ndio taswira ya cdm , yeyote anayeijua cdm hawezi kumsahau maana kumsahau dr slaa ni sawa na kuisahau cdm .
Mwache Dr Slaa apumzike. Hapa tunaona historia inajirudia - Mwalimu JKN alipoona hawezi kuhimili wimbi la mageuzi ya soko huria lililokuwa likivuma duniani kote, aliamua kung'atuka mwaka 1985 ili apishe watu wengine kusimamia hayo mageuzi. Na kwa uamuzi huo aliendelea kutoa ushauri kwa warithi wake na pia kuthaminiwa hadi leo kama Baba wa Taifa. Dr Slaa naye ameona hawezi kuhimili wimbi la mafuriko ya kuleta mabadiliko na amefanya uamuzi wa busara na ataendelea kukumbukwa kuwa chachu na kamanda mkuu wa ukombozi wa pili wa tiafa hili. Tutabuni kumbukumbu maalum kwa ajili yake itakayoingia katika historia ya nchi hii. Sasa hivi jukumu linalotukabili ni operesheni futilia mbali ccm.
 
Dr Slaa alitakiwa kujua kwamba watanzania wanataka mabadiliko. Pili watanzania wanaipenda Tanzania yao kuliko wanavyompenda yeye. Tatu katika team work huwa mnatofautiana mawazo lakini kazi inaendeelea siyo kuzira.

Nne alitakiwa awe na moyo wa kusamehe. Yeye ni kasisi. Katika mapokeo ya kanisa hakuna misa ya kumvua mtu ukasisi. EL ameteseka miaka nane juu ya Richmond. Tumsamehe. Hakuna mkamilifu. Slaa akiwa bado kwenye upadri alikuwa na mwanamke ndo huyo mwanamke wake kabla ya Josephine. Alikuwa amempangia nyumba. Baada ya kuona upadri basi hapo aliomba kutoka kwenye utumishi. Lakini kilichoanza ni kuwa na mwanamke kinyume na taratibu za upadri. Hivyo hakuna mkamilifu.

Watanzania tunataka tuue tembo (ccm), mengine baadae.

Tuipige CCM chini.
 
Mbona hujaelezea kasaulika kivipi?
Dr. Slaa jua kuna watu wanampenda sana nami nikiwepo.
 
Dr slaa endelea kupumzika kazi uliyoifanya umemaliza magamba yanaruka na kukanyagana.

We unacheza za fisadi papa
Kaisha nunua chama chake , sasa hivi ni mwendo wa gharika sio mafuriko tena, wote ni mzobe mzobe subiri gharika likitua kila kitu ni vipande vipande hakuna Ukawa wala Kahawa na kashata
 
Mbona hujaelezea kasaulika kivipi?
Dr. Slaa jua kuna watu wanampenda sana nami nikiwepo.

Kwani kwenye mafuriko unakumbuka kitu so mwendo mdundo ? Hakuna cha kufikiri mambo ni mzobemzobe , chezea pesa nn ?Mwenye kanunua chama chake kwake mafuriko ndo starehe aliona kusafishwa na ndoo hatakasiki , huyu anahitaji mafuriko kumtakasa
 
Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc. Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.

Njaa mbaya sana mkuu ubongo unapoteza kabisa ushirikiano na tumbo.
 
Tangu lini adui yako akakuonea huruma? Wanafiki nyie!!! Kama mnamtaka Slaa mwalikeni kwenu ccm, CDM ni taasisi na si mtu.

sasa ilikuaje Lowasa ambae alikua adui yenu mkampokea..?
 
Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc. Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.

Magambo hayo yamechanganyikiwa! Magamba waliwekeza Sana katika mradi wa kusambaratisha ukawa na mradi huo umeshindwa vibaya! Magamba yamekata tamaa! Walidhani sakata la slaa kupumzika litaivunja nguvu ukawa wakakuta ndo kwanza mambo yanapamba moto! Magamba yalivyoona ukawa inaendelea kuimarika wakagharimia mradi wa kumrubuni Lipumba kwa gharama kubwa! Mradi huo pia ukafeli vibaya! Ukawa ndo kwanza ni kama imetiwa nguvu zaidi! Magamba yalivyoona hivyo yakajaribu kutumia udini kuvuruga ukawa, mbinu hii pia imefeli vibaya ikiwa katika hatua zake za awali!

Ukawa imekomaa! Ushahidi ni jinsi ilivyoweza kuvuka vikwazo hivyo! na viongozi kuachilia maslahi na utukufu was vyama binafsi kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa letu! Kipekee nampongeza sana mheshimiwa Mbatia na maalim SEIF! Mchango wao katika kuepusha kusambaratika kwa ukawa! Namshukuru sana Mbowe kwa kuhimili msukosuko ndani ya chadema uliokuwa unatishia uhai wa ukawa! Namshukuru sana Dr. Makaidi kwa busara zake ndani ya ukawa !

Mwisho namshukuru sana Dr. Slaa kwa kutokutoa nafasi kwa magamba kumtumia katika kipindi hiki alichoamua kupumzika! Pumzika mzee wetu Slaa hatuwezi kukusahau bado utapata nafasi ya kukutosha katika serikali ukawa ili uwatumikie watanzania!
 
dr atakuwa kwenye mioyo yetu kwa kutuletea mageuzi
 
Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc.

Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.

Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.

Wamepita manabii wengi sana na mpaka leo dini zinaendelea.
 
sasa ilikuaje Lowasa ambae alikua adui yenu mkampokea..?

Edo ndio habari ya mujini wanavosema hao wanawapotevu ila mimi naelewa kitu kimoja the money talk thats why they SHUT UP yaani Uss! si yule macho mbwiru wala hawa vishark mkojo. wamebaki ooh mafuriko wamesahau kuwa ukawa sio Chadema na micuf and the whole nyumbu fam bali kuna CCM pia tena ndio kiongozi wao mkuu. :majani7:
 
Siyo kweli Dr Slaa anarudi kwenye kampeni...CCM wameshindwa kumchukua na Slaa Foundation waliyomwandalia. Wamekoma
 
Dr Slaa kapumzika ofisi annayo naibu wake. Yeye yuko kimya sisi tunamsemea. ma-ccm yanataka azundumze na atazungumza naamini kupigilia msumari wa mwisho. yeye sio vvzela anazo hekima
 
Back
Top Bottom