SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,973
- 75,055
sasa ilikuaje Lowasa ambae alikua adui yenu mkampokea..?
Adui yetu ni CCM
sasa ilikuaje Lowasa ambae alikua adui yenu mkampokea..?
Kampe cheo nyumbani kwako!Chadema ni taasisi sii mtu mmojaWanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc.
Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.
Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.
Hivi Dr Slaa tunamhuweka kwenye kundi gani sasa hivi?
Dr slaa ndio taswira ya cdm , yeyote anayeijua cdm hawezi kumsahau maana kumsahau dr slaa ni sawa na kuisahau cdm .
CDM ni chama cha umma siyo cha Slaa wala Mbowe, tunasonga mbele hata kama hawa watahama kesho cdm inadumu daima
Dr slaa ndio taswira ya cdm , yeyote anayeijua cdm hawezi kumsahau maana kumsahau dr slaa ni sawa na kuisahau cdm .
Aliacha upadre akijua atakua Raisi wa Tanzania hatimaye kakosa vyote na umri ndo ushamtupa mkono. Arudi tu karatu akalime Mbaazi
Adui yetu ni CCM
tuliwahi kusema humu mwaka jana kwamba Mbowe anamtumia tu kupata washabiki na mwishoni atamtupa, basi nyumbu walishambulia sana hoja ile. Leo yako wapi, mpaka mnadiriki kusema kasahaulika! Lahaula!
We unajua nini,poor u pretending to knew it all
Slaa aende tu kwanza Makamanda hatuna habari naye sisi tunawaza ukombozi pia chama si mtu ni taasisi.