Mkuu, Dr Slaa tangu atoe kauli zake za ajabu ajabu ikiwemo ya kumkosoa rais kuhusu suala la kagame, kutukashfu wananchi na viongozi wetu wa kiimani kuwa sisi tunao ombea taifa letu amani ni wanafiki na kauli zingine za ajabu ajabu, Watanzania wametokea kumchukia kweli huyu babu Slaa.
Kweli kabisa mkuu, Dr Slaa hana madhara tena kwa sasa, yani amekuwa butu mpaka huruma, sijui ataishi vipi maana nje ya siasa he's nothing. Sijui atarudi tena kanisani?
Kweli kabisa mkuu, Dr Slaa hana madhara tena kwa sasa, yani amekuwa butu mpaka huruma, sijui ataishi vipi maana nje ya siasa he's nothing. Sijui atarudi tena kanisani?
Mkuu HAMY-D dr slaa amejitangaza vyakutosha na watanzania wasiomjua wanatamani sana kumjua ila anachoongea haeleweki na anadhauraulika sana. Yaani ni kama mcheza mazingaombwe vile.
anaweza anzisha kanisa lake na wajinga wakamfata tena mpaka huko simwamini huyu jamaa isee
Heeee kumbe Zitto alikuwa panya makubwa!Haisaidii,sidhani kama yeye ni Panya! Hata hivyo majukumu hayo yapo kwa mwingine.Sina ujuzi na Panya vile vile.Sijajitangaza...
Mada:Leteni picha mlizosema ni za Aibu huko Kiomboi.Acheni uongo.Aibu kwenu!
"Kilichonirhangaza"? Really? Ulitaka kudanganya nini hapo hadi ukatia aibu kiasi hicho?
Weka picha kudhibitisha maneno yako.acha kudanganya umma.Kweli mkuu, kama CHADEMA ikiendelea kulea watu aina ya Dr Slaa basi kitakuwa sio chama cha siasa bali ni ghala la kulea wazee.
Mbona hujadili mada unajadili ID za watu au ndio unawafundisha mods kazi "shame on you"Mwenyewe hujiamini.Anza kujiamini kwanza kabla hujatafuta sababu za kumuamini Dr.Slaa.Jitambue kwanza,ID fake unazobadilisha ni kujidhaliliisha tu.
Uongo kwangu mwiko. Dr jana alikuwa anaongea kiukali na hasira kama anawaonya watoto wake kiasi cha wahudhuriaji wengi kumchukia na kuzomea saa nyingine. Dr si kitu tena, sijui atarudije kwenye ulingo wa kisiasa! Amejitangaza kupitia the list of shame aliopewa na wahaini ndani ya serikali atleast watanzania wakamuona mpiganaji ila ufisadi wake ndani ya chama, chuki yake, uroho wa madaraka na kuhamasisha uvunjifu wa amani watanzania wamemdharau sana.
Mwenyewe hujiamini.Anza kujiamini kwanza kabla hujatafuta sababu za kumuamini Dr.Slaa.Jitambue kwanza,ID fake unazobadilisha ni kujidhaliliisha tu.
saa nane huna sera naweza nikakufananisha na mwehu aliekalia kuti bovu hajui kitachotokea baadae ki ukweli ungekuwa unajitambua usingepoteza muda wako kumjibia huyu babu hata kidogo asokuwa na aibu mbela ya watu
Umri wa Gombalemwiru na Samwel Malecela unauzungumziaje? Hawa si walikuwa viongozi ndani ya serikali na CCM hadi 2010? Au hawa ni vijana kwa mujibu wa tafsiri za magamba? Bahati mbaya wachumia tumbo wa Lumumba hawanaga kumbukumbu.
Kutenda nini kijana wewe? Mwenyewe unategemea posho kutoka kwa slaa usiku upate ingia halafu unajitapa mtu wa kutenda. Nakuonea huruma ulivyokuwa umeshika tama na mfulana wako wa buku siku ile slaa akihutubia Bavicha. Unaonekana mkuu umepigika kiasi hata haukujua jioni ungekula nini siku ile.
WanaJF!
Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA hapa Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita (majira ya saa 8 mchana) na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.
Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.
Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!
saa nane huna sera naweza nikakufananisha na mwehu aliekalia kuti bovu hajui kitachotokea baadae ki ukweli ungekuwa unajitambua usingepoteza muda wako kumjibia huyu babu hata kidogo asokuwa na aibu mbela ya watu