Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Mbaya zaidi alikwa na hawara yake aliyempora kwa mzee mahimbo, amepata aibu ya karne, ndio mana vibaraka wake wana hasira kweli humuMkuu, leo lazima watutukane kwani hiyo aibu aliyoipata Dr Slaa huko sio ndogo.
Mkuu picha nyingi wanasiasa wanatudanganya wanaleta picha za mwaka 2010 sijui ili iweje kwa hiyo usidanganywe na picha .Ushahidi wa Picha au Video ndio utakaohukumu, kumbuka mkono mtupu haulambwi.
Mkuu, leo lazima watutukane kwani hiyo aibu aliyoipata Dr Slaa huko sio ndogo.
Anti, punguza matusi basi umezoea kutumiwa bila malipo leo umeamua kutoka kivingine na matusi
Kwanza mimi sio Mwigulu ila mahusiano kati yangu na Mwigulu ni kwamba; he's my role model and inspirational leader.
Jambo lingine, hivi unajua kinacho fanywa na CHADEMA huko mikoani au na wewe ndio wale wale walaghaika?, kubwa hapa ni posho na sio kweli kwamba CHADEMA ina lengo la kukusanya maoni.
Zaidi ya ile uliyoipata pale dar ulipowaita wanaIramba wakakuchunia...jamani mwenye picha atuwekee mwigulu akiongea na wanairamba wasiozidi kumi na waandishi wa jambo leo, uhuru na magazeti ya udaku wapatao 30...
WanaJF!
Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA huko Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.
Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.
Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!
kama unajiamini na ulichokiandika si utuwekee picha tuone? Tunataka picha
Nilijua utakuja na threat yako kama hii baada ya kuona ile nyingine ya live up-dates. Siku hizi uko Iramba au umeambatana na SIMBA SC????
Nataka niweke picha hapa za kuonyesha namna ambavyo wana Iramba wamemsusia Dr Slaa, yani watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida huku Dr Slaa akiendelea kuhutubia miti na magari ya M4C.
WanaJF!
Katika hali iliyokuwa ikitazamiwa kutokea kwenye mkutano wa CHADEMA huko Iramba, sasa yametimia kwani mkutano umeanza takribani saa 1 lililo pita na matangazo ya kuhamasisha yamekuwa yakisikika kote hapa Iramba, ila mwitikio wa wananchi kwenye mkutano huo ni mdogo na hali hiyo imemfanya Dr Slaa kuduwaa na kubaki kukuna kichwa tu.
Jambo ambalo limemponza Dr Slaa na kumuingiza kwenye aibu hiyo, ni kufuatia kudanganywa na wapambe wake kuwa yeye ana kubalika Iramba na wananchi wanamtambua kama rais wao, badala yake Dr Slaa ameonekana kama kituko mbele ya wananchi ingawa alikuja na mbwembwe nyingi hapa kijijini.
Dr Slaa, CCM YATUTOSHA!
Mkuu, huku ni kijijini, network iko very poor, ila jitihada zinaendelea za ku-upload picha.