Elections 2010 Dr. Slaa apata mapokezi makubwa Mugumu Serengeti

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,973
Wadau,
Muda mfupi uliopita nimekuwa nafanya mawasiliano na jamaa zangu walioko Mugumu kuhusu ujio wa Rais mtarajiwa Dr. Slaa. Taarifa nilizopata toka kwa watu niliowasiliana nao zinasema kwamba watu wamejitokeza kwa wingi sana kumlaki na kumsikiliza.Naambiwa amefanya mikutano Issenye, Ngoreme na Mugumu mjini ambako kumelipuka kufuatia ujio wake. Watu wamejitokeza kwa wingi mugumu mjini toka vijiji vya jirani tangu asubuhi wakitaka kumshuhudia Dr. Silaha (ndivyo wanavyomuita huko). Nimemuomba mwandishi wa habari mmoja aliyeko huko anitumie picha ili niitundike hapa. Sasahivi amemaliza kuhutubia Mugumu na ameruka kuelekea Ngorongoro.

Mwisho naomba tusisahau kujitokeza kwa wingi tarehe 31/10/2010 kupiga kura za mabadiliko ya kweli. Tuhamasishe na wengine waliokata tamaa ya kura kuibiwa. Kama alivyoshauri Mwanakijiji, kura zinaibiwa kwa baadhi yetu kutokupiga kura.
 
Wakuu mi niko nashona mavazi ya kuapishwa kwa presida Dr. wa ukweli. Dr SLAAA our new Leader.
 
M
wisho naomba tusisahau kujitokeza kwa wingi tarehe 31/10/2010 kupiga kura za mabadiliko ya kweli. Tuhamasishe na wengine waliokata tamaa ya kura kuibiwa. Kama alivyoshauri Mwanakijiji, kura zinaibiwa kwa baadhi yetu kutokupiga kura.

Jk sasa wala hapati usingizi hata chembe na ashindwa kuelewa hizi siasa mbona zimemgeuka hivyo?Anachotakiwa ni kuandaa hotuba tutakayomkumbuka nayo kuwa kweli hana uchu wa madraka na anaheshimu demokrasia........That may be his lasting legacy, after all...........
 
Habari mbaya kweli kweli kwa che che me!

CCM walikuwa wamesambaza uzushi kuwa Dr. Slaa anapinga kujengwa kwa barabara ya mugumu-mto wa mbu kupitia serengeti national park, na wakaenda mbali kwa kuwaambia kuwa wachaga ndio wanawafitini ili wasipate barabara ya lami. Baada ya kulitolea maelezo ya kutosha wananchi wamemkubali na kumuahidi ushindi mkubwa.
 
M

Jk sasa wala hapati usingizi hata chembe na ashindwa kuelewa hizi siasa mbona zimemgeuka hivyo?Anachotakiwa ni kuandaa hotuba tutakayomkumbuka nayo kuwa kweli hana uchu wa madraka na anaheshimu demokrasia........That may be his lasting legacy, after all...........

Kilichom-cost JK kwa wilaya ya serengeti ni kwamba ahadi zake zote za 2005, aliweza kutekeleza moja tu ya maji kwa kata ya mugumu mjini, ingawa wananchi waliohamishwa kupishwa mradi wa maji hawajalipwa na wamefungua kesi mahakama kuu mwanza. Zaidi ya hapo hakuna nyengine na hata alipopita kufanya kampeni mwaka huu aliona aibu kuahidi tena kwani hata barabara ya mugumu-mto wa mbu ni ahdi ya miaka nenda rudi.
 
hABARI NJEMA.Jamaa anweza kuahirisha ya Mwanza kesho aende serengeti kusemea barabara
 
Wadau,
Muda mfupi uliopita nimekuwa nafanya mawasiliano na jamaa zangu walioko Mugumu kuhusu ujio wa Rais mtarajiwa Dr. Slaa. Taarifa nilizopata toka kwa watu niliowasiliana nao zinasema kwamba watu wamejitokeza kwa wingi sana kumlaki na kumsikiliza.Naambiwa amefanya mikutano Issenye, Ngoreme na Mugumu mjini ambako kumelipuka kufuatia ujio wake. Watu wamejitokeza kwa wingi mugumu mjini toka vijiji vya jirani tangu asubuhi wakitaka kumshuhudia Dr. Silaha (ndivyo wanavyomuita huko). Nimemuomba mwandishi wa habari mmoja aliyeko huko anitumie picha ili niitundike hapa. Sasahivi amemaliza kuhutubia Mugumu na ameruka kuelekea Ngorongoro.

Mwisho naomba tusisahau kujitokeza kwa wingi tarehe 31/10/2010 kupiga kura za mabadiliko ya kweli. Tuhamasishe na wengine waliokata tamaa ya kura kuibiwa. Kama alivyoshauri Mwanakijiji, kura zinaibiwa kwa baadhi yetu kutokupiga kura.

Wadau mlioko Mugumu ebu fanya hima tutumie picha angalau moja tuone jinsi waTZ walivyodhamiria mwaka huu kuanzia kusini hadi kaskazini, mashariki hadi magharibi ya nchi.

Pipoooooooooooooooooooooooooooooz ......................
 
Samahani wakuu hapa Jamvini ... naomba kuelewa mbona huyu mkuu aendi mikoa ya kusini yaani mtwara, ruvuma, Lindi n.k Naona anazunguka hapo hapo tu toka kampeni zianze. Ajawahi hata kwenda Zanzibar .... vipi huyu rais mtarajiwa?
 
Wadau,
Muda mfupi uliopita nimekuwa nafanya mawasiliano na jamaa zangu walioko Mugumu kuhusu ujio wa Rais mtarajiwa Dr. Slaa. Taarifa nilizopata toka kwa watu niliowasiliana nao zinasema kwamba watu wamejitokeza kwa wingi sana kumlaki na kumsikiliza.Naambiwa amefanya mikutano Issenye, Ngoreme na Mugumu mjini ambako kumelipuka kufuatia ujio wake. Watu wamejitokeza kwa wingi mugumu mjini toka vijiji vya jirani tangu asubuhi wakitaka kumshuhudia Dr. Silaha (ndivyo wanavyomuita huko). Nimemuomba mwandishi wa habari mmoja aliyeko huko anitumie picha ili niitundike hapa. Sasahivi amemaliza kuhutubia Mugumu na ameruka kuelekea Ngorongoro.

Mwisho naomba tusisahau kujitokeza kwa wingi tarehe 31/10/2010 kupiga kura za mabadiliko ya kweli. Tuhamasishe na wengine waliokata tamaa ya kura kuibiwa. Kama alivyoshauri Mwanakijiji, kura zinaibiwa kwa baadhi yetu kutokupiga kura.

So what???
 
Samahani wakuu hapa Jamvini ... naomba kuelewa mbona huyu mkuu aendi mikoa ya kusini yaani mtwara, ruvuma, Lindi n.k Naona anazunguka hapo hapo tu toka kampeni zianze. Ajawahi hata kwenda Zanzibar .... vipi huyu rais mtarajiwa?

Huyu ni Rais wa maeneo tu, Uraisi wa Tanzania unafikiri ni mchezo
 
Atakwenda kwani ipo kwenye ratiba. Usisahau hajafanya mkutano wo wote Dar.
 
Back
Top Bottom