Ziara Ya Katibu Mkuu Dr. Wilibroad Slaa Leo

Chademakwanza

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
6,349
Points
1,225
Chademakwanza

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
6,349 1,225
Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, Dr. Wilibrod Slaa, -akiwasalimia wanachama, wapenzi, wafuasi na mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kuwasili katika ofisi za wilaya za chama hicho mjini Mpanda, mkoani Katavi juzi mchana akiwa katika mwendelezo wa ziara yake maeneo mbalimbali ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi ambako mbali ya kukagua zoezi la uandikishaji wa wapiga kura amekuwa akihamasisha wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu huku pia akikagua maandalizi ya chama kinavyojipanga kuelekea uchaguzi.

Dk. Willibroad Slaa akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Mpanda, mkoani Katavi uliofanyika katika Uwanja wa Kashaulili baada ya kuwasili mkoani humo akitokea Mkoa wa Rukwa na Mbeya, ambako amepita katika maeneo mbalimbali akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa BVR, akitumia mikutano ya hadhara kuhamasisha wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, huku pia akikagua maandalizi ya chama kinavyojipanga kueleka mwezi Oktoba.S
 
Attachments:

stanlthecreator

stanlthecreator

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Messages
1,947
Points
1,195
stanlthecreator

stanlthecreator

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2014
1,947 1,195
Padri mzinifu sana huyu,Mungu kamlaani kwa kusaliti kazi yake
 
N

NCHI YANGU TZ

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
663
Points
0
N

NCHI YANGU TZ

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2014
663 0

Nendeni vijijin walipo ndugu zetu ambao ni mateka wa CCM dude linalonyonya damu zetu mpaka tuna dhoofu, nendeni huko na mtaona mafanikio yake
 
stanlthecreator

stanlthecreator

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Messages
1,947
Points
1,195
stanlthecreator

stanlthecreator

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2014
1,947 1,195
Anayemlaani binadamu naye amelaaniwa pole sana chuki zako na Dr.Slaa zitakuua huyu ndo raisi mtarajiwa.
Toka lini padri akawa rais?
 
N

NCHI YANGU TZ

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
663
Points
0
N

NCHI YANGU TZ

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2014
663 0
Tupo Huko vijijini
inatakiwa zaidi ya hapo, najua mnafika lakini si kwa kiwango kizuri, mkifikia nusu ya vijiji vyote nchini october yenu, Mtaji wa hawa wezi upo vijijini, na wanajua huwa hamfiki huko.
 
I

Izu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
175
Points
0
I

Izu

Senior Member
Joined Mar 4, 2015
175 0
Mie namtaka huyo huyo Padre tu mapagani CCM siwataki maana wananuka dhambi.
 
Forum statistics

Threads 1,335,863
Members 512,474
Posts 32,518,216
Top