Bora nisipige kura,chaguo langu ni dr. Slaa,Lowassa pandikizi wa CCM

MWAISEMBA CR

Member
Apr 21, 2014
86
78
BORA NISIPIGE KURA,CHAGUO LANGU NI DR SLAA,LOWASSA PANDIKIZI WA CCM

Kumetokea Umati pia wa watu ambao wamepanga kutokupiga kura kabisa eti kwa kuwa DR SLAA ndie alikuwa chaguo lao na kuona LOWASSA ni Pandikizi la ccm ndani ya UKAWA.Ingawa bado wanaichukia CCM hivyo wameamua Sio tu kuhama UKAWA bali wamepanga kutokupiga kura kabisa!!!!

Kwa mwenye Busara na uelewa wa Kutosha atajua na kuelewa kuwa Kura yake moja ni haki yake ya msingi sana kama mtanzania,Maana ndiyo inaweza kuamua maendeleo yako kwa kipindi cha awamu ya miaka 5.Ukiitumia vibaya au kuacha kupiga Kura itakupelekea kuingia katika maumivu au malalamiko kwa kipindi cha Miaka 5.Kura yako moja inaweza kabisa kubadilisha matokeo maana Mgombea hushinda kwa wingi wa Kura zake.Nina mifano mingi ya watu waliowashinda wapinzani wenzake kwa kura yake moja ingawa sitaitoa!!

Kumbuka kubadilika kwa mgombea,kuna uwezekano mkubwa wa mabadiliko kutokea either mabaya au mazuri!!Wagombea wanatofautia kati ya mgombea na mgombea!!!!Pamoja MKAPA alifanya vibaya kupita waliomtangulia lakini KIKWETE amefanya vibaya zaidi ya wote!!! Kumbe ingawa kuna mbaya(bad) lakini kuna mbaya zaidi(worse).Vivyo hivyo kuna GOOD,BETTER and BEST

Inawezekana Kwako DR SLAA ni best zaidi ya wote VS LOWASSA AND MAGUFULI.Hata mimi naamini hivyo na namkubali sana Dr slaa kupita kawaida kwa misimamo yake na asivyoweza kutikiswa na Upepo wa mtu yeyote na kwa jinsi alivyo na uwezo wa kujenga hoja kuliko wengine,hana kashfa na pia ni Muwajibikaji.Lakini Kweli ndo uache kabisa kupiga kura kisa DR SLAA unayempenda ameamua kukaa kimya na Kujitoa kwenye siasa za Ukawa?

Hapana msimamo huo sio sahihi utaku cost ukiacha kupiga kura!!!! Kama hayupo best unayemuona kati ya hao waliokuwepo au waliochaguliwa kugombea,Bado utatakiwa uwe na mgombea better than au good one kwako!

Maana hata kati ya hawa wagombea yaani Magufuli na LOWASSA ,Yupo aliye better than other ambae hata kama hatafanya kwa kiwango cha Dr Slaa uliyemuona best bado ataweza kufanya mabadiliko mazuri kuliko mwingine

Hata unaona LOWASSA ni Pandikizi la CCM Lazima huwaze kupiga kura kwani hata kama Mkapa na Kikwete ni ccm bado ningeambiwa nichague kati yao,Ningemchagua MKAPA AS BETTER THAN KIKWETE hata kama ninaichukia ccm na kama hakuna wagombea wengine zaidi ya hao!!!!Hivyo chagua yeyote kati ya Lowassa na Magufuli as your better one!!!hata kama huoni chagua wagombea wengine mbali na hao kuliko kuacha kabisa kupiga kura!!.Kwa maana Usipochagua watu watakuchagulia na bado hata kama unawakataa bado utahitaji msaada kwao.

Kumbuka dhamira yetu tangu mwanzo kama UKAWA ni kuutoa mfumo mbovu wa ccm sio kushughulika na watu!!!Hata kama unamuona Lowassa ni Pandikizi la ccm hawezi kubadili MFUMO WA UKAWA peke yake!!!Mfumo ni Watu sio Mtu!!!!Kwahiyo hataweza kuleta U-CCM wake akiwa Ukawa,maana ukawa imejengwa juu ya misingi ya maoni ya wananchi au mawazo ya wananchi sio mawazo ya vongozi fulani wa Ukawa Kama ilivyo CCM kuwa ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI

KITUNZE KICHINJIO CHAKO!!!KAPIGE KURA,TUITOE CCM
 
hahaha mtu aliyetumwa utamjua tu lazima ajigongegonge wee.kama vile ametumwa apeleke posa

.....unajidai una hoja zenye mashiko kumbe pumba tu na kesho tunamsubiri na bado mtaelewa tu
 
Usi kremu mambo ccm hawawezi kuonja sumu kwa,kuilamba
 
wwe c mwana chadema n msisim tulia ssa hv n opereshen ondo ccm
 
Hiyo ndio akili yako ya kushikiwa ilivyo
 
mimi si ccm ila nawaelimisha watu wasiotaka kupiga kura kisa dr slaa hamejiondoe ukawa

Wewe hata kama ni ccm basi unalazimisha kuwa hivyo maana kwa akili yako ilivyo mbovu naamini hata nape hawezi kukupokea
 
Dr slaa kwa magufuli angepigwa kama mtoto,tuungane tuwe wamoja ili kumtoa mkoloni ccm, kwa Nguvu hii ya ukawa ccm chaliii,tutaenda kuvunja mikataba mibovu ya madini na mingine nchi itasimama, piga kura usipoteze haki yako plz
 
Bora usipige kura kabisa wewe make hujitambui....
Kabla ya CDM Dr. Slaa alikuwepo CCM... Ili ushinde uchaguzi unahitaji wafuasi na wapiga kura wengi sana.... Na ndicho kinachotokea muda huu..!!
 
Hicho ni kichwa cha habari tu umesoma maelezo yote?HAYA MANENO '[h=2]Bora nisipige kura,chaguo langu ni dr. Slaa,Lowassa pandikizi wa CCM" ni ya watu baadhi wanaotaka kuacha kupiga kura kisa dr slaa[/h]
 
Hicho ni kichwa cha habari tu umesoma maelezo yote?HAYA MANENO 'Bora nisipige kura,chaguo langu ni dr. Slaa,Lowassa pandikizi wa CCM" ni ya watu baadhi wanaotaka kuacha kupiga kura kisa dr slaa

Waambie waende tena kwa haraka sana.......
Unapaswa kuelewa kuwa Lowassa kaja na kura nyingi sana kuliko hizo mnazopanga kuondoka nazo..!!
Dr. Slaa is language of the past...
 
BORA NISIPIGE KURA,CHAGUO LANGU NI DR SLAA,LOWASSA PANDIKIZI WA CCM

Kumetokea Umati pia wa watu ambao wamepanga kutokupiga kura kabisa eti kwa kuwa DR SLAA ndie alikuwa chaguo lao na kuona LOWASSA ni Pandikizi la ccm ndani ya UKAWA.Ingawa bado wanaichukia CCM hivyo wameamua Sio tu kuhama UKAWA bali wamepanga kutokupiga kura kabisa!!!!

Kwa mwenye Busara na uelewa wa Kutosha atajua na kuelewa kuwa Kura yake moja ni haki yake ya msingi sana kama mtanzania,Maana ndiyo inaweza kuamua maendeleo yako kwa kipindi cha awamu ya miaka 5.Ukiitumia vibaya au kuacha kupiga Kura itakupelekea kuingia katika maumivu au malalamiko kwa kipindi cha Miaka 5.Kura yako moja inaweza kabisa kubadilisha matokeo maana Mgombea hushinda kwa wingi wa Kura zake.Nina mifano mingi ya watu waliowashinda wapinzani wenzake kwa kura yake moja ingawa sitaitoa!!

Kumbuka kubadilika kwa mgombea,kuna uwezekano mkubwa wa mabadiliko kutokea either mabaya au mazuri!!Wagombea wanatofautia kati ya mgombea na mgombea!!!!Pamoja MKAPA alifanya vibaya kupita waliomtangulia lakini KIKWETE amefanya vibaya zaidi ya wote!!! Kumbe ingawa kuna mbaya(bad) lakini kuna mbaya zaidi(worse).Vivyo hivyo kuna GOOD,BETTER and BEST

Inawezekana Kwako DR SLAA ni best zaidi ya wote VS LOWASSA AND MAGUFULI.Hata mimi naamini hivyo na namkubali sana Dr slaa kupita kawaida kwa misimamo yake na asivyoweza kutikiswa na Upepo wa mtu yeyote na kwa jinsi alivyo na uwezo wa kujenga hoja kuliko wengine,hana kashfa na pia ni Muwajibikaji.Lakini Kweli ndo uache kabisa kupiga kura kisa DR SLAA unayempenda ameamua kukaa kimya na Kujitoa kwenye siasa za Ukawa?

Hapana msimamo huo sio sahihi utaku cost ukiacha kupiga kura!!!! Kama hayupo best unayemuona kati ya hao waliokuwepo au waliochaguliwa kugombea,Bado utatakiwa uwe na mgombea better than au good one kwako!

Maana hata kati ya hawa wagombea yaani Magufuli na LOWASSA ,Yupo aliye better than other ambae hata kama hatafanya kwa kiwango cha Dr Slaa uliyemuona best bado ataweza kufanya mabadiliko mazuri kuliko mwingine

Hata unaona LOWASSA ni Pandikizi la CCM Lazima huwaze kupiga kura kwani hata kama Mkapa na Kikwete ni ccm bado ningeambiwa nichague kati yao,Ningemchagua MKAPA AS BETTER THAN KIKWETE hata kama ninaichukia ccm na kama hakuna wagombea wengine zaidi ya hao!!!!Hivyo chagua yeyote kati ya Lowassa na Magufuli as your better one!!!hata kama huoni chagua wagombea wengine mbali na hao kuliko kuacha kabisa kupiga kura!!.Kwa maana Usipochagua watu watakuchagulia na bado hata kama unawakataa bado utahitaji msaada kwao.

Kumbuka dhamira yetu tangu mwanzo kama UKAWA ni kuutoa mfumo mbovu wa ccm sio kushughulika na watu!!!Hata kama unamuona Lowassa ni Pandikizi la ccm hawezi kubadili MFUMO WA UKAWA peke yake!!!Mfumo ni Watu sio Mtu!!!!Kwahiyo hataweza kuleta U-CCM wake akiwa Ukawa,maana ukawa imejengwa juu ya misingi ya maoni ya wananchi au mawazo ya wananchi sio mawazo ya vongozi fulani wa Ukawa Kama ilivyo CCM kuwa ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI

KITUNZE KICHINJIO CHAKO!!!KAPIGE KURA,TUITOE CCM

Ni lazima ufuate maamuzi ya chama ikiwa ww mpenda mabadiliko kweli, hii kumpenda mtu ni ujinga na uvivu. Na ikumbukwe hakuna mgombea binfci tz. Mzee slaa smart sana ninamkubali sana sana lakini kufuata maamuzi ya chama ni muhimu sana. Swala la EL et sababu katoka ccm hiyo co hoja kwa mtu mwenye akili, na asiye na njaa, wapinzani wote wlitoka ccm mf Dr Slaa, Duni,Sharriff, Lipumba, nk wote kilikuwa chama kimoja enz izo na walihama na kuwaamini kuchukua uongoz huku kwenye upinzani hivyo hoja yako kwa bwana EL ni ya kivivu, alafu nyie watu wa lumumba hamna pa kushika sasa mnatangatanga wenzenu wenye maamuzi magumu wanatoka ccm kwa dhati kwelikweli
 
Nimeshangaa sana, kumbe watu huwa hawasomi ila wanakimbilia kucomment !. Mtoa mada anatetea watu wamchague Lowassa na wasitumie kigezo cha Dr. Slaa kutokugombea kama sababu ya kutokupiga kura.

Watu mnamshambulia mleta mada wakati anatetea hicho hicho mnachokiamini....kisa uvivu wa kusoma. Mnaboa sana.
 
Back
Top Bottom