Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Ila ss km mambo yatakua ivivi kila wkt so inabidi wawe wananyamza tu?tutafka kweli?c 2tatawaliwa na hawa watu maisha?mana chances za katiba kubadilishwa
Naona ni ndogo mno.neways imjussaying
Mijadala kama hii imepitwa na wakati. Vumbi la kisiasa limeshatulia na maisha yanatakiwa yaendelee. Nakubaliana na Mwanakijiji kwamba hapo ni busara imetumika kuliepusha taifa na vurugu na machafuko ambaye kawaida masikini ndiyo huwa wanaathirika sana kwani hupigania wasichokiweza. Slaa alisema hana dola wala mabomu hivyo hawezi kupigana wala kusababisha machafuko
Hapo kwenye katiba utanitonesha bureeeeee. Kwa madaraka wadandie salama lakini kwa katiba mzee hata Dr Slaa na wanaharakati wengine wengi waliokwishajitokeza kamwe hatutowaachia hata ka-mwanya wakameza mate nakuambia tena.
Hili la katiba, Dr Slaa na wengine ni wabeba ujumbe tu, lakini moto wote ni umma wa Tanzania.
Ruta, personally sina matatizo sana na kimya cha Dr Slaa kwani kwa mazingira yaliyopo sasa hakuna hekima iliyo bora kama kukaa kimya.
Besides, kukaa kimya kunampa mtu space ya ku-contemplate objectively.
Kwa jinsi unavyojitambulisha kwenye signature yako nina uhakika kuna kitu umeki-analyse tayari - so mwaga nyanga zako hapa jamvini tukusikie!
Otherwise, tuambie wewe ungekuwa Dr Slaa ungefanyeje? Huna haki ya kumlaumu Dr kama wewe mwenyewe huna hata chembe ya idea...
Mkuu Abdulhalim, heshima kwako. Umesema Dr Slaa hajaonyesha uthibitisho wa kuibwa kura. Je siku aliyoomba harakati za kuhesbu kura isimmishwe hakutoa ushahidi? Je si kweli kuwa tume ikakiri kuwa Geita 'walikosea' kutoa hesabu na kumnyima kura 18,000. Dr Slaa pia alitoa mifano mingine. Sasa unataka ushahidi gani zaidi? Dr Slaa hana vyombo vya dola kuchunguza kama polisi, ameleta mezani evidence alizo nazo. Kama wewe pamoja na hayo bado unaamini uchaguzi ulikuwa wa haki basi ni kwa kuwa umeamua na si kwa sababu Dr Slaa alikaa kimya. Mimi binafsi nasema the burden of proof haiko na dr Slaa yeye alshatoa evidence alicho nacho na hata baadhi ya magazeti kama Mwanahalisi wameonyesha. The burden of proof iko na serikali ikanushe na kutueleza wanawezaje ku'kosea' kur a 18,000 za mgombea, Geita, yale masanduku ya kura yaliyokamatwa Segerea yametoka wapi nk.
With all due respect Mzee Mwananakijiji.......................Nchi inaongozwa kwa misingi ya kidemokrasia na utawala bora......unapoona umeonewa unakimbilia mahakamani siyo kwenye mahakama za kisiasa....................au public opinion........................tatizo la Dr. Slaa ni kutoa tafsiri ya katiba yetu kuwa inamzuia kwenda mahakamani kuhoji matokeo ya kura ya Uraisi iliyotamkwa na NEC...........Huwezi ukawa na rundo la ushahidi halafu ukachelea kwenda mahakamani..........na hata mahakama kama itakudhulumu hiyo itakuwa ni hoja nyingie ya kudai mfumo mpya wa kikatiba kwa sababu mahakama zitaonekana zina muundo wa kulinda haki za watawala tu...........Dr. Slaa angeweza kabisa kufanya kama walivyofanya kule Ivory Coast; alikuwa na haki ya kulalamika hivyo na tuliona mwanzo lakini mwishowe hekima na mapenzi kwa nchi yake yalizidi kutaka kuingia madarakani. Kumbuka upande wa pili hawakuahidi hata mara moja kuwa wakishindwa watakubali matokeo. Maana yake ni kuwa badala ya kumuona kafyata mkia, ni muhimu kumuona kama shujaa aliyeliepushia taifa lake madhara makubwa. NInaamini si mtu mwenye kiu ya madaraka kwani wenye kiu tumewaona wamefikia hatua gani kuyachukua au kubakia nayo.
SIoni kama hoja ya Mwanakijiji ina msingi wowote. Ishu hapa sio Slaa kama individual kukataa matokeo, maana akifanya hivo atakuwa hajui maana na thamani ya dhamana ya watu waliochukua muda wao kushiriki mchakato wa kampeni na hatimaye kuhitimisha kwa kumpigia kura. Hapa na-assume kwamba kweli kura zake zimechakachuliwa.
Lakini kinyume chake mi naona kwamba huyu bwana akiendelea kukaa kimya bila kufanya lolote sisi wengine tutamchukulia kama ni mwongo,mzandiki na sore loser tu. Maana haiezekani wewe mtu uibiwe kura zako in plain sight halafu ukae kimya walau usioneshe kwa dunia (neutrals) vidhibiti kuonesha hoja yako. It simply does n't add up.
</p>Dr. Slaa's best weapon are the courts of law...................silence means poor leadership.................If Dr. Slaa can't stand the heat he has no reason to complain...................hence he has no business being in the kitchen...................He impresses upon me as a whiner.....but nothing else....
Dr Slaa ametoa ushahidi mwingi tu, hata humu JF ilandikwa na mahesabu yakatolewa ni wajibu wa Serikali kukanusha.
Lakini kwa kuwa wao wameshikilia dola Dr kaamua kunyamaza, lakini kimya kingi kina mshindo mkuu!!!!!!!!!!!!!!!
</p>Hizi ndizo hoja za kimsingi hapa....................kama Dr. Slaa ana ushahidi kwa nini haendi mahakamani?............vinginevyo Dr. Slaa ni tapeli wa kimataifa.......................Aona hawezi kugeuza ukweli kuwa JK alimzidi kete..........za kuchakachua kiasi kwamba hawezi hata kujua JK alifanyeje hata kumbwaga..................
Mkuu Abdulhalim, heshima kwako. Umesema Dr Slaa hajaonyesha uthibitisho wa kuibwa kura. Je siku aliyoomba harakati za kuhesbu kura isimmishwe hakutoa ushahidi? Je si kweli kuwa tume ikakiri kuwa Geita 'walikosea' kutoa hesabu na kumnyima kura 18,000. Dr Slaa pia alitoa mifano mingine. Sasa unataka ushahidi gani zaidi? Dr Slaa hana vyombo vya dola kuchunguza kama polisi, ameleta mezani evidence alizo nazo. Kama wewe pamoja na hayo bado unaamini uchaguzi ulikuwa wa haki basi ni kwa kuwa umeamua na si kwa sababu Dr Slaa alikaa kimya. Mimi binafsi nasema the burden of proof haiko na dr Slaa yeye alshatoa evidence alicho nacho na hata baadhi ya magazeti kama Mwanahalisi wameonyesha. The burden of proof iko na serikali ikanushe na kutueleza wanawezaje ku'kosea' kur a 18,000 za mgombea, Geita, yale masanduku ya kura yaliyokamatwa Segerea yametoka wapi nk.