Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 756
Haujakosea.We ulikuwepo mkuu? Maana ndo njia pekee unajua kuwa mwenzako hakuwepo.!
Ila kusema eti kulikuwa hakuna uchakachuaji wakati baadhi yetu tumeambiwa na watu wa usalama, wasimamizi wa uchaguzi na mawakala haiingi akilini! Kwa hiyowote walikula njama na Dr Slaa? Nchi nzima? Acha propaganda mkuu!
Hivi ulishajiuliza kwa nini wananchi walikuwa wakiandamana kushinikiza kutangazwa kwa matokeo ya ubunge wa baadhi ya maeneo lakin hawakuwa na haja ya kusubiri kusomewa matokeo ya uraisi katika majimbo yao?..wanaujua ukweli!!
Kuna hoja ya msingi ya kuwa na tume huru ya uchaguzi ili kuondoa mwingiliano wa tume na serikali iliyopo madarakani lakini atleast katika uchaguzi wa mwaka huu hakuna aliyeporwa ushindi wa uraisi, aliyeshinda ndiye aliyetangazwa na tume.