Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Nadhani anafuata ushauri wa Josie binti Mshumbusi.Mbona kijana wake Mzee Mwanakijiji karudi TZ nasikia?
Magufuli kagoma kumpa ubunge ina maana?
mbona Lipumba yupo na anadunda?
Nadhani anafuata ushauri wa Josie binti Mshumbusi.
Maisha yake yawe hatarini kwa lipi hasa???
Mkuu tatizo yule mzee ameshikiwa akili na yule mama ndio maana anatapatapaMbona kijana wake Mzee Mwanakijiji karudi TZ nasikia?
Magufuli kagoma kumpa ubunge ina maana?
mbona Lipumba yupo na anadunda?
Hivi ile acc yake ya jf bado password anazo mshumbuzi?Nadhani anafuata ushauri wa Josie binti Mshumbusi.
Maisha yake yawe hatarini kwa lipi hasa???
Kuna kila sababu za kumpa ushauri nasaha Slaa vinginevyo tutampoteza au atapata maradhi ya akili!