kajirita
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,575
- 637
Uzuri safari za Kikwete zina mafanikio mengi. Sasa katibu mkuu anazurura kila siku???
Hayo ni matumizi mabaya ya Fedha za chama....
Zina mafanikio mengi?ndivyo mnavyodanganya?Deni la Taifa limefikia Trillioni tatu(3,000,000,000,000/= kwa safari hizihizi mnazodai zina mafanikio,na bado bajeti ni tegemezi kwa asilimia 50!?