Dr Slaa ang'ara katika salam za Mwaka 2014,

Dr Slaa ang'ara katika salam za Mwaka 2014,

Status
Not open for further replies.
Dr. Slaa we andaa ratiba na timu za ukweli kufanya mageuzi kama yale ya mwKa juzi na jana mwanzo ili octoba chaguzi zikianza tupite kiurahisi saaaanaa
 
Uzuri safari za Kikwete zina mafanikio mengi. Sasa katibu mkuu anazurura kila siku???
Hayo ni matumizi mabaya ya Fedha za chama....

mafanikio ni kama kupanda bei ya umeme na kila kitu,kuongezeka biashara ya sembe,kukua kwa deni la taifa,wananchi kuwa maskini zaidi and the like
 
Anaenda kucheki afya yake na mrembo wake(ukiwa NI sehemu ya MATUMIZI ya ZILE PESA ZA RUZUKU zinazomgombanisha NA AKINA MWIGAMBA,KITILYA,NA ZITTO ),na pia akapeleke taarifa ya pesa za chama cha conservative,kuanzishwa kwa gazeti la tanzania daima ambalo sasa lipo mikononi mwa mbowe family.-WAKATI CHAMA HICHO CHA UJERUMANI KIKIJUA KILITOA MTAJI KWA CHADEMA KUANZISHA GAZETI LA KIHARAKATI,KUMBE MWENYEKITI ALIUGEUZA MRADI WA GAZETI KUWA WA FAMILIYA)na zaidi huko nako atarajie upinzani kama wa kigoma,maana zitto kabwe ndo maarufu HUKO UJERUMANI kuliko dr.slaa,na ni zitto aliyeitambulisha chadema huko ujerumani.
 
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.

haiendi kucheki afya kama mkwele,by the way anasafiri mara ngapi kwa mwaka? Na anamzidi nani???
 
Katika hali ya kutia hamasa,
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Dr Wilibroad Slaa katika siku za awali za mwaka (2014),
Ameorodheshwa katika jarida la Uchambuzi wa siasa nchini Ujerumani kama Mtu mwenye ushawishi zaidi, katika kanda ya Afrika Mashariki, Dr Slaa ambae amewahi kuwa mgombea wa Uongozi wa juu kabisa Nchini Tanzania, Anaangaliwa zaidi kwa jicho la karibu na watanzania walio wengi,
Akifanya Mahojiano katika jimbo la Bavaria,Mhariri wa gazeti la kila siku Nchini Ujerumani,Iern Madrne, Aliwapa Maono yake kuhusu nchi zinazoendelea hususani Nchi za Afrika Mashariki, Na kupongeza kazi inayofanywa na chama cha Upinzani nchini Tanzania Chadema,
Dr Slaa anatarajiwa kuwa na Ziara ya kikazi katika Jimbo la Bavaria Nchini Ujerumani hapo baadae mwaka huu.

subiri vujana wa lumumba watakapo kuja speed hapa kama wamefuzwa na faru.
 
anaenda kucheki afya yake na mrembo wake(ukiwa ni sehemu ya matumizi ya zile pesa za ruzuku zinazomgombanisha na akina mwigamba,kitilya,na zitto ),na pia akapeleke taarifa ya pesa za chama cha conservative,kuanzishwa kwa gazeti la tanzania daima ambalo sasa lipo mikononi mwa mbowe family.-wakati chama hicho cha ujerumani kikijua kilitoa mtaji kwa chadema kuanzisha gazeti la kiharakati,kumbe mwenyekiti aliugeuza mradi wa gazeti kuwa wa familiya)na zaidi huko nako atarajie upinzani kama wa kigoma,maana zitto kabwe ndo maarufu huko ujerumani kuliko dr.slaa,na ni zitto aliyeitambulisha chadema huko ujerumani.

mwulize ri.z1 alipata wapi fedha ya kununua magari zaidi ya 30,ya kusafirishia mafuta.

Au gazeti la jam.bo leo alilianzishaje? Au ndio huruma ya mzee mwenzangu baada ya kudakwa na sembe beijing?

Ndio maana kina ma.nyer.ere na w.j.male.chela kila siku nikushupaa wanajifanya wanaishauri chadema.
Kumbe una.fiki mtupuna uchumia tumbo tu!
 
Naomba muya nukuu haya!

"hakika nawaambieni vija wangu wote wa c.c.m na chadema kuwa dk.willbrod slaa ndiye raisi mtarajiwa wa nchi hii kunzia 2015."
 
dr slaa hawezi kuwa rais ameshachoka.atagombea urais kumfurahisha josephine mwenye ndoto za kuwa first lady
 
Anaenda kucheki afya yake na mrembo wake(ukiwa NI sehemu ya MATUMIZI ya ZILE PESA ZA RUZUKU zinazomgombanisha NA AKINA MWIGAMBA,KITILYA,NA ZITTO ),na pia akapeleke taarifa ya pesa za chama cha conservative,kuanzishwa kwa gazeti la tanzania daima ambalo sasa lipo mikononi mwa mbowe family.-WAKATI CHAMA HICHO CHA UJERUMANI KIKIJUA KILITOA MTAJI KWA CHADEMA KUANZISHA GAZETI LA KIHARAKATI,KUMBE MWENYEKITI ALIUGEUZA MRADI WA GAZETI KUWA WA FAMILIYA)na zaidi huko nako atarajie upinzani kama wa kigoma,maana zitto kabwe ndo maarufu HUKO UJERUMANI kuliko dr.slaa,na ni zitto aliyeitambulisha chadema huko ujerumani.

Umbea wa kike,una gharama kubwa sana,sasa KITILYA wa TRA kaingiaje tena hapa?
Dume zima limekalia uzumbukuku na ushambenga,utao___a bila maha_i wewe.
Jitafakari sna.
 
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
Kwa kupenda kusafiri una maana ya Dr. Slaa au Dr. Kikwete? Nakubaliana na wewe kuwa ikibidi CDM waandamane kupinga ziara za JK nje ya nchi kwani fedha za safari hizo zingeweza kupelekwa mahospitalini wamama wanaojifungua wasingelala sakafuni!
 
Uzuri safari za Kikwete zina mafanikio mengi. Sasa katibu mkuu anazurura kila siku???
Hayo ni matumizi mabaya ya Fedha za chama....

Anatukinga na malaria kwa kubadilisha dhahabu na vyandarura, manaufaa yapo kweli
 
taarifa kama hii hata kama imeandikwa Kijerumani, Weka link hata kama hatuelewi lugha Jina la Dr Slaa litasomeka tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom